Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo Mhe. Hawa Abdulrahman Ghasia ( wa kwanza kulia) akikagua ukarabati wa soko la zamani la Kariakoo linaloendelea kujengwa na Serikali jijini Dar es Salaam ambapo limefikia asilimia 71 leo Aprili 12,2023.