Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Aprili 11, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 17.22 na kuuzwa kwa shilingi 17.37 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Aprili 11, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.54 na kuuzwa kwa shilingi 222.68 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 126.17 na kuuzwa kwa shilingi 127.39.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2300.49 na kuuzwa kwa shilingi 2323.5 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7501.04 na kuuzwa kwa shilingi 7573.58.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2869.64 na kuuzwa kwa shilingi 2899.26 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.06 na kuuzwa kwa shilingi 2.13.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 626.43 na kuuzwa kwa shilingi 632.66 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.62 na kuuzwa kwa shilingi 148.93.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2510.53 na kuuzwa kwa shilingi 2536.10.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.49 na kuuzwa kwa shilingi 17.67 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 334.77 na kuuzwa kwa shilingi 337.96.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1539.03 na kuuzwa kwa shilingi 1554.89 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3105.44 na kuuzwa kwa shilingi 3136.49.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1709.01 na kuuzwa kwa shilingi 1725.58 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2542.26 na kuuzwa kwa shilingi 2566.55.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today April 11th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 626.4282 632.658 629.5431 11-Apr-23
2 ATS 147.6228 148.9308 148.2768 11-Apr-23
3 AUD 1539.0312 1554.8862 1546.9587 11-Apr-23
4 BEF 50.3556 50.8014 50.5785 11-Apr-23
5 BIF 2.2026 2.2192 2.2109 11-Apr-23
6 CAD 1709.0075 1725.5849 1717.2962 11-Apr-23
7 CHF 2542.2644 2566.5526 2554.4085 11-Apr-23
8 CNY 334.7733 337.9637 336.3685 11-Apr-23
9 DEM 921.7835 1047.8016 984.7925 11-Apr-23
10 DKK 337.0096 340.3448 338.6772 11-Apr-23
11 ESP 12.2088 12.3165 12.2626 11-Apr-23
12 EUR 2510.5302 2536.1002 2523.3152 11-Apr-23
13 FIM 341.6442 344.6716 343.1579 11-Apr-23
14 FRF 309.6767 312.4159 311.0463 11-Apr-23
15 GBP 2869.6375 2899.2633 2884.4504 11-Apr-23
16 HKD 293.0604 295.9872 294.5238 11-Apr-23
17 INR 28.1049 28.3669 28.2359 11-Apr-23
18 ITL 1.0491 1.0584 1.0537 11-Apr-23
19 JPY 17.4929 17.6665 17.5797 11-Apr-23
20 KES 17.2257 17.372 17.2988 11-Apr-23
21 KRW 1.7454 1.7612 1.7533 11-Apr-23
22 KWD 7501.0435 7573.5845 7537.314 11-Apr-23
23 MWK 2.0861 2.2245 2.1553 11-Apr-23
24 MYR 523.1966 527.9482 525.5724 11-Apr-23
25 MZM 35.5673 35.8675 35.7174 11-Apr-23
26 NLG 921.7835 929.958 925.8707 11-Apr-23
27 NOK 220.7578 222.8734 221.8156 11-Apr-23
28 NZD 1443.3306 1458.9256 1451.1281 11-Apr-23
29 PKR 7.6404 8.0112 7.8258 11-Apr-23
30 RWF 2.0636 2.1314 2.0975 11-Apr-23
31 SAR 613.2528 619.3358 616.2943 11-Apr-23
32 SDR 3105.4383 3136.4927 3120.9655 11-Apr-23
33 SEK 220.5377 222.6791 221.6084 11-Apr-23
34 SGD 1731.5182 1748.1754 1739.8468 11-Apr-23
35 UGX 0.5913 0.6204 0.6059 11-Apr-23
36 USD 2300.495 2323.5 2311.9975 11-Apr-23
37 GOLD 4642260.9801 4689055.3499 4665658.165 11-Apr-23
38 ZAR 126.17 127.3988 126.7844 11-Apr-23
39 ZMW 113.3594 116.4253 114.8924 11-Apr-23
40 ZWD 0.4305 0.4391 0.4348 11-Apr-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news