Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Aprili 19, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2301.25 na kuuzwa kwa shilingi 2324.26 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7513.05 na kuuzwa kwa shilingi 7585.70.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Aprili 19, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2862.29 na kuuzwa kwa shilingi 2891.84 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.06 na kuuzwa kwa shilingi 2.11.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 626.77 na kuuzwa kwa shilingi 632.86 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.67 na kuuzwa kwa shilingi 148.98.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2526.54 na kuuzwa kwa shilingi 2552.73.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.15 na kuuzwa kwa shilingi 17.32 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 334.69 na kuuzwa kwa shilingi 338.01.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1549.89 na kuuzwa kwa shilingi 1568.85 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3117.27 na kuuzwa kwa shilingi 3148.44.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1721.85 na kuuzwa kwa shilingi 1738.93 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2568.36 na kuuzwa kwa shilingi 2593.46.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 17.07 na kuuzwa kwa shilingi 17.22 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 223.61 na kuuzwa kwa shilingi 225.78 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 126.55 na kuuzwa kwa shilingi 127.71.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today April 19th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 626.7696 632.865 629.8173 19-Apr-23
2 ATS 147.6711 148.9795 148.3253 19-Apr-23
3 AUD 1549.8902 1565.854 1557.8721 19-Apr-23
4 BEF 50.3721 50.8179 50.595 19-Apr-23
5 BIF 2.2033 2.2199 2.2116 19-Apr-23
6 CAD 1721.8462 1738.9346 1730.3904 19-Apr-23
7 CHF 2568.3566 2593.4612 2580.9089 19-Apr-23
8 CNY 334.6977 338.0151 336.3564 19-Apr-23
9 DEM 922.085 1048.1443 985.1147 19-Apr-23
10 DKK 339.1019 342.4425 340.7722 19-Apr-23
11 ESP 12.2127 12.3205 12.2666 19-Apr-23
12 EUR 2526.5396 2552.7348 2539.6372 19-Apr-23
13 FIM 341.7559 344.7843 343.2701 19-Apr-23
14 FRF 309.778 312.5182 311.1481 19-Apr-23
15 GBP 2862.2917 2891.8443 2877.068 19-Apr-23
16 HKD 293.16 296.0878 294.6239 19-Apr-23
17 INR 28.0544 28.3342 28.1943 19-Apr-23
18 ITL 1.0494 1.0587 1.0541 19-Apr-23
19 JPY 17.153 17.3207 17.2368 19-Apr-23
20 KES 17.0716 17.2167 17.1442 19-Apr-23
21 KRW 1.7481 1.7649 1.7565 19-Apr-23
22 KWD 7513.051 7585.705 7549.378 19-Apr-23
23 MWK 2.0825 2.2429 2.1627 19-Apr-23
24 MYR 519.1175 523.7179 521.4177 19-Apr-23
25 MZM 35.5955 35.8959 35.7457 19-Apr-23
26 NLG 922.085 930.2622 926.1736 19-Apr-23
27 NOK 220.5232 222.6494 221.5863 19-Apr-23
28 NZD 1428.6145 1443.8303 1436.2224 19-Apr-23
29 PKR 7.7141 8.1869 7.9505 19-Apr-23
30 RWF 2.0589 2.1117 2.0853 19-Apr-23
31 SAR 613.5842 619.6704 616.6273 19-Apr-23
32 SDR 3117.2699 3148.4425 3132.8562 19-Apr-23
33 SEK 223.6153 225.7857 224.7005 19-Apr-23
34 SGD 1727.7931 1744.4161 1736.1046 19-Apr-23
35 UGX 0.5907 0.6198 0.6052 19-Apr-23
36 USD 2301.2476 2324.26 2312.7538 19-Apr-23
37 GOLD 4608562.2886 4656104.5252 4632333.4069 19-Apr-23
38 ZAR 126.5534 127.7136 127.1335 19-Apr-23
39 ZMW 130.7297 135.7232 133.2265 19-Apr-23
40 ZWD 0.4307 0.4393 0.435 19-Apr-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news