Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Aprili 21, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2524.84 na kuuzwa kwa shilingi 2550.32.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Aprili 21, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.14 na kuuzwa kwa shilingi 17.31 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 334.87 na kuuzwa kwa shilingi 338.04.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1552.74 na kuuzwa kwa shilingi 1568.73 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3098.11 na kuuzwa kwa shilingi 3129.09.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1708.52 na kuuzwa kwa shilingi 1725.09 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2576.26 na kuuzwa kwa shilingi 2600.86.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 17.01 na kuuzwa kwa shilingi 17.16 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 222.94 na kuuzwa kwa shilingi 225.10 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 127.34 na kuuzwa kwa shilingi 128.59.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2301.38 na kuuzwa kwa shilingi 2324.39 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7511.26 na kuuzwa kwa shilingi 7583.90.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2864.29 na kuuzwa kwa shilingi 2893.86 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.06 na kuuzwa kwa shilingi 2.11.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 626.74 na kuuzwa kwa shilingi 632.82 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.68 na kuuzwa kwa shilingi 148.99.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today April 21st, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Sarafu Kununua Kuuza Wastani Tarehe ya biashara
1 AED 626.7365 632.8315 629.784 21-Apr-23
2 ATS 147.6793 148.9879 148.3336 21-Apr-23
3 AUD 1552.7386 1568.7308 1560.7347 21-Apr-23
4 BEF 50.3748 50.8208 50.5978 21-Apr-23
5 BIF 2.2034 2.22 2.2117 21-Apr-23
6 CAD 1708.5198 1725.0928 1716.8063 21-Apr-23
7 CHF 2576.2636 2600.8616 2588.5626 21-Apr-23
8 CNY 334.8674 338.044 336.4557 21-Apr-23
9 DEM 922.1366 1048.2029 985.1698 21-Apr-23
10 DKK 338.9012 342.27 340.5856 21-Apr-23
11 ESP 12.2134 12.3212 12.2673 21-Apr-23
12 EUR 2524.8399 2550.3207 2537.5803 21-Apr-23
13 FIM 341.775 344.8036 343.2893 21-Apr-23
14 FRF 309.7953 312.5357 311.1655 21-Apr-23
15 GBP 2864.2929 2893.8655 2879.0792 21-Apr-23
16 HKD 293.1839 296.1119 294.6479 21-Apr-23
17 INR 28.043 28.3044 28.1737 21-Apr-23
18 ITL 1.0495 1.0588 1.0541 21-Apr-23
19 JPY 17.1361 17.3062 17.2211 21-Apr-23
20 KES 17.0157 17.1605 17.0881 21-Apr-23
21 KRW 1.743 1.7594 1.7512 21-Apr-23
22 KWD 7511.2642 7583.9016 7547.5829 21-Apr-23
23 MWK 2.0968 2.2356 2.1662 21-Apr-23
24 MYR 518.9123 523.5113 521.2118 21-Apr-23
25 MZM 35.4603 35.7599 35.6101 21-Apr-23
26 NLG 922.1366 930.3142 926.2254 21-Apr-23
27 NOK 217.4864 219.599 218.5427 21-Apr-23
28 NZD 1423.6314 1438.7974 1431.2144 21-Apr-23
29 PKR 7.7159 8.1989 7.9574 21-Apr-23
30 RWF 2.0568 2.1094 2.0831 21-Apr-23
31 SAR 613.6512 619.7216 616.6864 21-Apr-23
32 SDR 3098.1127 3129.0939 3113.6033 21-Apr-23
33 SEK 222.9368 225.1007 224.0187 21-Apr-23
34 SGD 1728.1492 1744.7756 1736.4624 21-Apr-23
35 UGX 0.592 0.6212 0.6066 21-Apr-23
36 USD 2301.3762 2324.39 2312.8831 21-Apr-23
37 GOLD 4613568.9436 4660308.9744 4636938.959 21-Apr-23
38 ZAR 127.3413 128.5963 127.9688 21-Apr-23
39 ZMW 128.2951 133.2029 130.749 21-Apr-23
40 ZWD 0.4306 0.4394 0.435 21-Apr-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news