Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Aprili 27, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2861.44 na kuuzwa kwa shilingi 2891.45 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.06 na kuuzwa kwa shilingi 2.11.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Aprili 27, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 626.88 na kuuzwa kwa shilingi 632.98 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.71 na kuuzwa kwa shilingi 149.02.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2536.88 na kuuzwa kwa shilingi 2562.71.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.15 na kuuzwa kwa shilingi 17.32 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 332.59 na kuuzwa kwa shilingi 335.87.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1531.43 na kuuzwa kwa shilingi 1547.21 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3107.28 na kuuzwa kwa shilingi 3138.35.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1693.54 na kuuzwa kwa shilingi 1709.97 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2593.35 na kuuzwa kwa shilingi 2618.99.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.97 na kuuzwa kwa shilingi 17.12 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 224.49 na kuuzwa kwa shilingi 226.68 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 125.93 na kuuzwa kwa shilingi 127.15.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2301.86 na kuuzwa kwa shilingi 2324.88 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7519.72 na kuuzwa kwa shilingi 7589.21.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today April 27th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 626.8857 632.9821 629.9339 27-Apr-23
2 ATS 147.7105 149.0193 148.3649 27-Apr-23
3 AUD 1531.4284 1547.2076 1539.318 27-Apr-23
4 BEF 50.3855 50.8315 50.6085 27-Apr-23
5 BIF 2.2039 2.2205 2.2122 27-Apr-23
6 CAD 1693.5413 1709.9735 1701.7574 27-Apr-23
7 CHF 2593.3545 2618.9929 2606.1737 27-Apr-23
8 CNY 332.5909 335.8683 334.2296 27-Apr-23
9 DEM 922.331 1048.4239 985.3774 27-Apr-23
10 DKK 340.4617 343.8409 342.1513 27-Apr-23
11 ESP 12.216 12.3238 12.2699 27-Apr-23
12 EUR 2536.8814 2562.7152 2549.7983 27-Apr-23
13 FIM 341.8471 344.8763 343.3617 27-Apr-23
14 FRF 309.8606 312.6016 311.2311 27-Apr-23
15 GBP 2861.4439 2891.4533 2876.4486 27-Apr-23
16 HKD 293.242 296.1706 294.7063 27-Apr-23
17 INR 28.1016 28.3636 28.2326 27-Apr-23
18 ITL 1.0497 1.059 1.0544 27-Apr-23
19 JPY 17.155 17.3227 17.2389 27-Apr-23
20 KES 16.9754 17.1199 17.0476 27-Apr-23
21 KRW 1.7199 1.7357 1.7278 27-Apr-23
22 KWD 7519.7196 7589.2146 7554.4671 27-Apr-23
23 MWK 2.0832 2.2436 2.1634 27-Apr-23
24 MYR 518.0872 522.445 520.2661 27-Apr-23
25 MZM 35.4678 35.7674 35.6176 27-Apr-23
26 NLG 922.331 930.5103 926.4206 27-Apr-23
27 NOK 217.085 219.1856 218.1353 27-Apr-23
28 NZD 1417.7165 1433.2885 1425.5025 27-Apr-23
29 PKR 7.7235 8.1853 7.9544 27-Apr-23
30 RWF 2.0561 2.1087 2.0824 27-Apr-23
31 SAR 613.6987 619.8027 616.7507 27-Apr-23
32 SDR 3107.2827 3138.3555 3122.8191 27-Apr-23
33 SEK 224.4886 226.6804 225.5845 27-Apr-23
34 SGD 1722.0479 1739.0081 1730.528 27-Apr-23
35 UGX 0.5909 0.62 0.6054 27-Apr-23
36 USD 2301.8614 2324.88 2313.3707 27-Apr-23
37 GOLD 4551447.5001 4597682.6879 4574565.094 27-Apr-23
38 ZAR 125.9313 127.1559 126.5436 27-Apr-23
39 ZMW 126.864 131.7212 129.2926 27-Apr-23
40 ZWD 0.4307 0.4395 0.4351 27-Apr-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news