NA GODFREY NNKO
LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.94 na kuuzwa kwa shilingi 17.09 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Aprili 28, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 222.63 na kuuzwa kwa shilingi 224.79 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 126.02 na kuuzwa kwa shilingi 127.24.
Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2301.95 na kuuzwa kwa shilingi 2324.97 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7525.91 na kuuzwa kwa shilingi 7591.74.
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2865.24 na kuuzwa kwa shilingi 2894.82 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.05 na kuuzwa kwa shilingi 2.11.
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 626.99 na kuuzwa kwa shilingi 633.09 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.72 na kuuzwa kwa shilingi 149.02.
Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2534.68 na kuuzwa kwa shilingi 2560.95.
Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.20 na kuuzwa kwa shilingi 17.37 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 332.46 na kuuzwa kwa shilingi 335.73.
Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1522.28 na kuuzwa kwa shilingi 1537.97 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3110.62 na kuuzwa kwa shilingi 3141.73.
Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.
Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1688.64 na kuuzwa kwa shilingi 1705.02 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2569.14 na kuuzwa kwa shilingi 2593.67.
Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today April 28th, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO | Currency | Buying | Selling | Mean | Transaction Date |
---|---|---|---|---|---|
1 | AED | 626.9953 | 633.0928 | 630.044 | 28-Apr-23 |
2 | ATS | 147.7162 | 149.0251 | 148.3706 | 28-Apr-23 |
3 | AUD | 1522.2799 | 1537.9677 | 1530.1238 | 28-Apr-23 |
4 | BEF | 50.3874 | 50.8335 | 50.6105 | 28-Apr-23 |
5 | BIF | 2.204 | 2.2206 | 2.2123 | 28-Apr-23 |
6 | BWP | 174.4878 | 176.4652 | 175.4765 | 28-Apr-23 |
7 | CAD | 1688.6374 | 1705.0235 | 1696.8304 | 28-Apr-23 |
8 | CHF | 2569.1412 | 2593.6747 | 2581.4079 | 28-Apr-23 |
9 | CNY | 332.4596 | 335.7357 | 334.0977 | 28-Apr-23 |
10 | CUC | 38.4319 | 43.686 | 41.059 | 28-Apr-23 |
11 | DEM | 922.3667 | 1048.4645 | 985.4156 | 28-Apr-23 |
12 | DKK | 340.0875 | 343.4478 | 341.7677 | 28-Apr-23 |
13 | DZD | 18.769 | 18.881 | 18.825 | 28-Apr-23 |
14 | ESP | 12.2165 | 12.3243 | 12.2704 | 28-Apr-23 |
15 | EUR | 2534.6777 | 2560.9545 | 2547.8161 | 28-Apr-23 |
16 | FIM | 341.8603 | 344.8896 | 343.375 | 28-Apr-23 |
17 | FRF | 309.8726 | 312.6136 | 311.2431 | 28-Apr-23 |
18 | GBP | 2865.2378 | 2894.8201 | 2880.029 | 28-Apr-23 |
19 | HKD | 293.2458 | 296.1745 | 294.7102 | 28-Apr-23 |
20 | INR | 28.155 | 28.4174 | 28.2862 | 28-Apr-23 |
21 | IQD | 0.2367 | 0.2385 | 0.2376 | 28-Apr-23 |
22 | IRR | 0.0081 | 0.0082 | 0.0082 | 28-Apr-23 |
23 | ITL | 1.0498 | 1.0591 | 1.0544 | 28-Apr-23 |
24 | JPY | 17.2018 | 17.37 | 17.2859 | 28-Apr-23 |
25 | KES | 16.9448 | 17.0891 | 17.0169 | 28-Apr-23 |
26 | KRW | 1.719 | 1.7325 | 1.7258 | 28-Apr-23 |
27 | KWD | 7525.9113 | 7591.7388 | 7558.825 | 28-Apr-23 |
28 | MWK | 2.0773 | 2.2434 | 2.1604 | 28-Apr-23 |
29 | MYR | 516.1324 | 520.5934 | 518.3629 | 28-Apr-23 |
30 | MZM | 35.4692 | 35.7688 | 35.619 | 28-Apr-23 |
31 | NAD | 92.5027 | 93.2165 | 92.8596 | 28-Apr-23 |
32 | NLG | 922.3667 | 930.5463 | 926.4565 | 28-Apr-23 |
33 | NOK | 216.4993 | 218.6026 | 217.551 | 28-Apr-23 |
34 | NZD | 1413.1674 | 1428.2291 | 1420.6982 | 28-Apr-23 |
35 | PKR | 7.7146 | 8.1856 | 7.9501 | 28-Apr-23 |
36 | QAR | 787.1532 | 793.1883 | 790.1708 | 28-Apr-23 |
37 | RWF | 2.0533 | 2.1107 | 2.082 | 28-Apr-23 |
38 | SAR | 613.7389 | 619.8432 | 616.7911 | 28-Apr-23 |
39 | SDR | 3110.6257 | 3141.732 | 3126.1788 | 28-Apr-23 |
40 | SEK | 222.6344 | 224.789 | 223.7117 | 28-Apr-23 |
41 | SGD | 1721.7281 | 1738.8153 | 1730.2717 | 28-Apr-23 |
42 | TRY | 118.507 | 119.6305 | 119.0687 | 28-Apr-23 |
43 | UGX | 0.5925 | 0.6216 | 0.6071 | 28-Apr-23 |
44 | USD | 2301.9505 | 2324.97 | 2313.4602 | 28-Apr-23 |
45 | GOLD | 4577405.5399 | 4624132.833 | 4600769.1865 | 28-Apr-23 |
46 | ZAR | 126.0169 | 127.2367 | 126.6268 | 28-Apr-23 |
47 | ZMK | 125.7967 | 130.6163 | 128.2065 | 28-Apr-23 |
48 | ZWD | 0.4308 | 0.4395 | 0.4351 | 28-Apr-23 |
Tags
Akiba Fedha za Kigeni
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Fedha za Kigeni
Foreign Exchanges
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania