Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Aprili 5, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 222.38 na kuuzwa kwa shilingi 224.54 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 128.94 na kuuzwa kwa shilingi 130.12.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Aprili 5, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.31 na kuuzwa kwa shilingi 17.49 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 334.27 na kuuzwa kwa shilingi 337.44.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1549.69 na kuuzwa kwa shilingi 1565.43 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3093.64 na kuuzwa kwa shilingi 3124.58.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2300.28 na kuuzwa kwa shilingi 2323.28 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7497.89 na kuuzwa kwa shilingi 7570.39.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2869.82 na kuuzwa kwa shilingi 2899.45 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.06 na kuuzwa kwa shilingi 2.12.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 626.45 na kuuzwa kwa shilingi 632.53 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.61 na kuuzwa kwa shilingi 148.92.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2506.61 na kuuzwa kwa shilingi 2532.61.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1711.26 na kuuzwa kwa shilingi 1727.86 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2519.19 na kuuzwa kwa shilingi 2543.27.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 17.31 na kuuzwa kwa shilingi 17.45 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today April 5th, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 626.4542 632.5292 629.4917 05-Apr-23
2 ATS 147.6088 148.9168 148.2628 05-Apr-23
3 AUD 1549.6968 1565.4261 1557.5614 05-Apr-23
4 BEF 50.3509 50.7965 50.5737 05-Apr-23
5 BIF 2.2024 2.219 2.2107 05-Apr-23
6 CAD 1711.2612 1727.8596 1719.5604 05-Apr-23
7 CHF 2519.1953 2543.2731 2531.2342 05-Apr-23
8 CNY 334.2698 337.4408 335.8553 05-Apr-23
9 DEM 921.6962 1047.7024 984.6993 05-Apr-23
10 DKK 336.5931 339.9093 338.2512 05-Apr-23
11 ESP 12.2076 12.3153 12.2614 05-Apr-23
12 EUR 2506.6121 2532.6075 2519.6098 05-Apr-23
13 FIM 341.6118 344.639 343.1254 05-Apr-23
14 FRF 309.6474 312.3864 311.0169 05-Apr-23
15 GBP 2869.8259 2899.4535 2884.6397 05-Apr-23
16 HKD 293.0402 295.9668 294.5035 05-Apr-23
17 INR 27.9917 28.2527 28.1222 05-Apr-23
18 ITL 1.049 1.0583 1.0536 05-Apr-23
19 JPY 17.3175 17.4867 17.4021 05-Apr-23
20 KES 17.3083 17.4552 17.3817 05-Apr-23
21 KRW 1.7477 1.7645 1.7561 05-Apr-23
22 KWD 7497.8886 7570.3998 7534.1442 05-Apr-23
23 MWK 2.083 2.2348 2.1589 05-Apr-23
24 MYR 522.3155 527.0599 524.6877 05-Apr-23
25 MZM 35.564 35.8642 35.7141 05-Apr-23
26 NLG 921.6962 929.8699 925.7831 05-Apr-23
27 NOK 223.2694 225.4364 224.3529 05-Apr-23
28 NZD 1445.2642 1460.1814 1452.7228 05-Apr-23
29 PKR 7.6208 8.0114 7.8161 05-Apr-23
30 RWF 2.061 2.1236 2.0923 05-Apr-23
31 SAR 613.3255 619.3761 616.3508 05-Apr-23
32 SDR 3093.6429 3124.5793 3109.1111 05-Apr-23
33 SEK 222.3822 224.5409 223.4616 05-Apr-23
34 SGD 1732.9194 1749.5896 1741.2545 05-Apr-23
35 UGX 0.5857 0.6146 0.6002 05-Apr-23
36 USD 2300.2772 2323.28 2311.7786 05-Apr-23
37 GOLD 4564647.128 4611013.816 4587830.472 05-Apr-23
38 ZAR 128.9408 130.1208 129.5308 05-Apr-23
39 ZMW 110.4589 114.7299 112.5944 05-Apr-23
40 ZWD 0.4305 0.4391 0.4348 05-Apr-23


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news