
Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) akiendelea na zoezi la kutoa elimu ya kodi Mlango kwa Mlango Halmashari ya Madaba Mkoa wa Ruvuma leo Mei 30,2023.

Afisa wa TRA akiendelea na zoezi la kutoa elimu mlango kwa mlango katika maeneo ya Turiani,Manyinga na Madizini wilayani Mvomero mkoani Morogoro leo Mei 30,2023.