

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na Viongozi, Wananchi pamoja na familia ya Mama Gladness Gilole iliopo Kijiji cha Sale mara baada ya kuzindua mradi wa umeme vijijini (REA) katika vijiji mbalimbali vya Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha leo tarehe 17 Mei 2023.