Aliyepo pichani anaitwa Sitta Giliku amepotea ni mkazi wa Ibulyu Kata ya Sakwe Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu. Ni mfanyabiashara wa mifugo (ng'ombe) amepotea tangu Mei 2, 2023. Kwa yeyote atakayemuona au aliyemuona atoe taarifa kwa namba 0789748000 au kituo chochote cha polisi.