NA DIRAMAKINI
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan, amemteua Bw. Moremi Marwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA).
Bw. Marwa ni Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza (SHIMA).
Bw. Marwa ni Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza (SHIMA).
Hayo ni kwa mujibu wa tarifa iliyotolewa leo Mei 18, 2023 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus ambapo uteuzi huu umeanza Mei 14, 2023.