Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 17, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.93 na kuuzwa kwa shilingi 17.09 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 330.68 na kuuzwa kwa shilingi 333.86.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1538.36 na kuuzwa kwa shilingi 1554.21 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3094.47 na kuuzwa kwa shilingi 3125.42.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 17, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1717.72 na kuuzwa kwa shilingi 1734.38 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2577.35 na kuuzwa kwa shilingi 2601.96.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.80 na kuuzwa kwa shilingi 16.95 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.25.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 222.39 na kuuzwa kwa shilingi 224.56 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 121.09 na kuuzwa kwa shilingi 122.21.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2304.66 na kuuzwa kwa shilingi 2327.71 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7510.23 na kuuzwa kwa shilingi 7582.86.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2884.05 na kuuzwa kwa shilingi 2913.13 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.04 na kuuzwa kwa shilingi 2.09.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 627.65 na kuuzwa kwa shilingi 633.89 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.89 na kuuzwa kwa shilingi 149.20.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2508.86 na kuuzwa kwa shilingi 2534.18.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 17th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 627.6487 633.8907 630.7697 17-May-23
2 ATS 147.8903 149.2007 148.5455 17-May-23
3 AUD 1538.3628 1554.212 1546.2874 17-May-23
4 BEF 50.4468 50.8934 50.6701 17-May-23
5 BIF 2.2066 2.2232 2.2149 17-May-23
6 CAD 1717.7188 1734.379 1726.0489 17-May-23
7 CHF 2577.3466 2601.9562 2589.6514 17-May-23
8 CNY 330.6784 333.8654 332.2719 17-May-23
9 DEM 923.4537 1049.7001 986.5769 17-May-23
10 DKK 336.9243 340.2637 338.594 17-May-23
11 ESP 12.2309 12.3388 12.2848 17-May-23
12 EUR 2508.8565 2534.1779 2521.5172 17-May-23
13 FIM 342.2631 345.2961 343.7796 17-May-23
14 FRF 310.2378 312.982 311.6099 17-May-23
15 GBP 2884.0557 2913.1291 2898.5924 17-May-23
16 HKD 294.0184 296.9472 295.4828 17-May-23
17 INR 28.0271 28.2999 28.1635 17-May-23
18 ITL 1.051 1.0603 1.0557 17-May-23
19 JPY 16.9311 17.0992 17.0151 17-May-23
20 KES 16.804 16.9473 16.8756 17-May-23
21 KRW 1.7203 1.7361 1.7282 17-May-23
22 KWD 7510.227 7582.8582 7546.5426 17-May-23
23 MWK 2.0877 2.2461 2.1669 17-May-23
24 MYR 513.2881 516.9243 515.1062 17-May-23
25 MZM 35.511 35.811 35.661 17-May-23
26 NLG 923.4537 931.643 927.5483 17-May-23
27 NOK 216.3313 218.4167 217.374 17-May-23
28 NZD 1438.1099 1453.4221 1445.766 17-May-23
29 PKR 7.7799 8.2025 7.9912 17-May-23
30 RWF 2.0397 2.0963 2.068 17-May-23
31 SAR 614.5933 620.7061 617.6497 17-May-23
32 SDR 3094.4715 3125.4163 3109.9439 17-May-23
33 SEK 222.3978 224.5611 223.4794 17-May-23
34 SGD 1723.6283 1740.7343 1732.1813 17-May-23
35 UGX 0.5952 0.6246 0.6099 17-May-23
36 USD 2304.6634 2327.71 2316.1867 17-May-23
37 GOLD 4630737.0554 4677766.016 4654251.5357 17-May-23
38 ZAR 121.0916 122.2062 121.6489 17-May-23
39 ZMW 120.9764 122.5885 121.7825 17-May-23
40 ZWD 0.4312 0.44 0.4356 17-May-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news