Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 23, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2871.95 na kuuzwa kwa shilingi 2901.83 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.04 na kuuzwa kwa shilingi 2.09.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 23, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 627.86 na kuuzwa kwa shilingi 633.96 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.93 na kuuzwa kwa shilingi 149.24.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2495.03 na kuuzwa kwa shilingi 2520.91.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.67 na kuuzwa kwa shilingi 16.84 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 327.98 na kuuzwa kwa shilingi 331.24.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1531.88 na kuuzwa kwa shilingi 1547.66 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3079.66 na kuuzwa kwa shilingi 3110.46.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1707.51 na kuuzwa kwa shilingi 1724.07 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2573.75 na kuuzwa kwa shilingi 2598.33.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.74 na kuuzwa kwa shilingi 16.88 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.25.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 219.37 na kuuzwa kwa shilingi 221.52 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 119.48 na kuuzwa kwa shilingi 120.66.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2305.31 na kuuzwa kwa shilingi 2328.36 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7506.21 na kuuzwa kwa shilingi 7578.80.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 23rd, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 627.8582 633.9642 630.9112 23-May-23
2 ATS 147.9316 149.2424 148.587 23-May-23
3 AUD 1531.8765 1547.6609 1539.7687 23-May-23
4 BEF 50.4609 50.9075 50.6842 23-May-23
5 BIF 2.2072 2.2238 2.2155 23-May-23
6 CAD 1707.5083 1724.0725 1715.7904 23-May-23
7 CHF 2573.7489 2598.3261 2586.0375 23-May-23
8 CNY 327.9802 331.2458 329.613 23-May-23
9 DEM 923.7116 1049.9932 986.8524 23-May-23
10 DKK 335.0298 338.331 336.6804 23-May-23
11 ESP 12.2343 12.3422 12.2883 23-May-23
12 EUR 2495.0337 2520.9153 2507.9745 23-May-23
13 FIM 342.3587 345.3925 343.8756 23-May-23
14 FRF 310.3244 313.0694 311.6969 23-May-23
15 GBP 2871.9514 2901.835 2886.8932 23-May-23
16 HKD 294.574 297.4894 296.0317 23-May-23
17 INR 27.8288 28.0884 27.9586 23-May-23
18 ITL 1.0513 1.0606 1.0559 23-May-23
19 JPY 16.6725 16.838 16.7553 23-May-23
20 KES 16.7415 16.8844 16.813 23-May-23
21 KRW 1.753 1.77 1.7615 23-May-23
22 KWD 7506.2091 7578.8035 7542.5063 23-May-23
23 MWK 2.0863 2.2469 2.1666 23-May-23
24 MYR 507.1067 511.7275 509.4171 23-May-23
25 MZM 35.5209 35.8209 35.6709 23-May-23
26 NLG 923.7116 931.9031 927.8074 23-May-23
27 NOK 211.8498 213.9172 212.8835 23-May-23
28 NZD 1448.6549 1463.3743 1456.0146 23-May-23
29 PKR 7.6508 8.1198 7.8853 23-May-23
30 RWF 2.0363 2.0977 2.067 23-May-23
31 SAR 614.7649 620.8795 617.8222 23-May-23
32 SDR 3079.6595 3110.4561 3095.0578 23-May-23
33 SEK 219.3734 221.5207 220.447 23-May-23
34 SGD 1715.0029 1731.5089 1723.2559 23-May-23
35 UGX 0.5944 0.6237 0.6091 23-May-23
36 USD 2305.307 2328.36 2316.8335 23-May-23
37 GOLD 4553880.2578 4600373.688 4577126.9729 23-May-23
38 ZAR 119.4837 120.6561 120.0699 23-May-23
39 ZMW 118.9693 121.9739 120.4716 23-May-23
40 ZWD 0.4314 0.4402 0.4358 23-May-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news