NA GODFREY NNKO
LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2306.98 na kuuzwa kwa shilingi 2330.05 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7503.107 na kuuzwa kwa shilingi 7573.21.
LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2306.98 na kuuzwa kwa shilingi 2330.05 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7503.107 na kuuzwa kwa shilingi 7573.21.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 29, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2850.50 na kuuzwa kwa shilingi 2879.24 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.02 na kuuzwa kwa shilingi 2.09.
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 628.31 na kuuzwa kwa shilingi 634.42 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 148.04 na kuuzwa kwa shilingi 149.35.
Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2475.16 na kuuzwa kwa shilingi 2500.84.
Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.45 na kuuzwa kwa shilingi 16.61 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 326.63 na kuuzwa kwa shilingi 329.83.
Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1503.84 na kuuzwa kwa shilingi 1520.36 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3069.21 na kuuzwa kwa shilingi 3099.89.
Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.
Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1692.82 na kuuzwa kwa shilingi 1709.25 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2551.69 na kuuzwa kwa shilingi 2576.06.
Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.68 na kuuzwa kwa shilingi 16.82 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.25.
Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 214.47 na kuuzwa kwa shilingi 216.55 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 117.69 na kuuzwa kwa shilingi 118.77.
Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 29th, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO | Currency | Buying | Selling | Mean | Transaction Date |
---|---|---|---|---|---|
1 | AED | 628.3139 | 634.4243 | 631.3691 | 29-May-23 |
2 | ATS | 148.0389 | 149.3507 | 148.6948 | 29-May-23 |
3 | AUD | 1504.8432 | 1520.3576 | 1512.6004 | 29-May-23 |
4 | BEF | 50.4975 | 50.9445 | 50.721 | 29-May-23 |
5 | BIF | 2.2088 | 2.2255 | 2.2171 | 29-May-23 |
6 | CAD | 1692.8237 | 1709.2503 | 1701.037 | 29-May-23 |
7 | CHF | 2551.687 | 2576.0642 | 2563.8756 | 29-May-23 |
8 | CNY | 326.6289 | 329.8345 | 328.2317 | 29-May-23 |
9 | DEM | 924.382 | 1050.7554 | 987.5687 | 29-May-23 |
10 | DKK | 332.4227 | 335.6985 | 334.0606 | 29-May-23 |
11 | ESP | 12.2432 | 12.3512 | 12.2972 | 29-May-23 |
12 | EUR | 2475.1591 | 2500.8427 | 2488.0009 | 29-May-23 |
13 | FIM | 342.6072 | 345.6432 | 344.1252 | 29-May-23 |
14 | FRF | 310.5497 | 313.2967 | 311.9232 | 29-May-23 |
15 | GBP | 2850.5048 | 2879.2428 | 2864.8738 | 29-May-23 |
16 | HKD | 294.4304 | 297.371 | 295.9007 | 29-May-23 |
17 | INR | 27.9113 | 28.1717 | 28.0415 | 29-May-23 |
18 | ITL | 1.0521 | 1.0614 | 1.0567 | 29-May-23 |
19 | JPY | 16.4491 | 16.61 | 16.5295 | 29-May-23 |
20 | KES | 16.681 | 16.8235 | 16.7522 | 29-May-23 |
21 | KRW | 1.7361 | 1.7529 | 1.7445 | 29-May-23 |
22 | KWD | 7503.1066 | 7573.2116 | 7538.1591 | 29-May-23 |
23 | MWK | 2.0891 | 2.2483 | 2.1687 | 29-May-23 |
24 | MYR | 501.8447 | 505.9827 | 503.9137 | 29-May-23 |
25 | MZM | 35.5467 | 35.8469 | 35.6968 | 29-May-23 |
26 | NLG | 924.382 | 932.5796 | 928.4808 | 29-May-23 |
27 | NOK | 208.7972 | 210.828 | 209.8126 | 29-May-23 |
28 | NZD | 1399.1835 | 1414.1073 | 1406.6454 | 29-May-23 |
29 | PKR | 7.6962 | 8.1642 | 7.9302 | 29-May-23 |
30 | RWF | 2.0238 | 2.0894 | 2.0566 | 29-May-23 |
31 | SAR | 615.1783 | 621.2141 | 618.1962 | 29-May-23 |
32 | SDR | 3069.2065 | 3099.8985 | 3084.5525 | 29-May-23 |
33 | SEK | 214.4691 | 216.5534 | 215.5113 | 29-May-23 |
34 | SGD | 1706.2201 | 1722.6453 | 1714.4327 | 29-May-23 |
35 | UGX | 0.5952 | 0.6239 | 0.6095 | 29-May-23 |
36 | USD | 2306.9802 | 2330.05 | 2318.5151 | 29-May-23 |
37 | GOLD | 4487053.4157 | 4532879.2703 | 4509966.343 | 29-May-23 |
38 | ZAR | 117.6881 | 118.7741 | 118.2311 | 29-May-23 |
39 | ZMW | 116.2116 | 119.3795 | 117.7956 | 29-May-23 |
40 | ZWD | 0.4317 | 0.4405 | 0.4361 | 29-May-23 |
Tags
Akiba Fedha za Kigeni
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Fedha za Kigeni
Foreign Exchanges
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania