Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 5, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1693.80 na kuuzwa kwa shilingi 1710.23 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2593.93 na kuuzwa kwa shilingi 2618.69.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 5, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.89 na kuuzwa kwa shilingi 17.04 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 224.24 na kuuzwa kwa shilingi 226.41 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 126.32 na kuuzwa kwa shilingi 127.54.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2302.89 na kuuzwa kwa shilingi 2325.92 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7518.66 na kuuzwa kwa shilingi 7590.87.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2892.66 na kuuzwa kwa shilingi 2922.29 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.05 na kuuzwa kwa shilingi 2.11.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 627.18 na kuuzwa kwa shilingi 633.28 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.78 na kuuzwa kwa shilingi 149.09.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2538.94 na kuuzwa kwa shilingi 2564.56.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.09 na kuuzwa kwa shilingi 17.26 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 333.09 na kuuzwa kwa shilingi 336.34.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1536.03 na kuuzwa kwa shilingi 1551.85 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3108.21 na kuuzwa kwa shilingi 3139.29.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 5th, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 627.1831 633.2825 630.2328 05-May-23
2 ATS 147.7766 149.086 148.4313 05-May-23
3 AUD 1536.0284 1551.8538 1543.9411 05-May-23
4 BEF 50.408 50.8542 50.6311 05-May-23
5 BIF 2.2049 2.2215 2.2132 05-May-23
6 CAD 1693.8005 1710.2353 1702.0179 05-May-23
7 CHF 2593.9301 2618.6895 2606.3098 05-May-23
8 CNY 333.091 336.3392 334.7151 05-May-23
9 DEM 922.7436 1048.8929 985.8182 05-May-23
10 DKK 340.8963 344.2543 342.5753 05-May-23
11 ESP 12.2215 12.3293 12.2754 05-May-23
12 EUR 2538.9374 2564.5594 2551.7484 05-May-23
13 FIM 342 345.0306 343.5153 05-May-23
14 FRF 309.9992 312.7414 311.3703 05-May-23
15 GBP 2892.6615 2922.2859 2907.4737 05-May-23
16 HKD 293.4441 296.3673 294.9057 05-May-23
17 INR 28.1741 28.4367 28.3054 05-May-23
18 ITL 1.0502 1.0595 1.0548 05-May-23
19 JPY 17.0939 17.2636 17.1787 05-May-23
20 KES 16.8958 17.0397 16.9677 05-May-23
21 KRW 1.7372 1.7536 1.7454 05-May-23
22 KWD 7518.6624 7590.875 7554.7687 05-May-23
23 MWK 2.0802 2.2444 2.1623 05-May-23
24 MYR 517.5036 521.9748 519.7392 05-May-23
25 MZM 35.4836 35.7834 35.6335 05-May-23
26 NLG 922.7436 930.9266 926.8351 05-May-23
27 NOK 215.318 217.4102 216.3641 05-May-23
28 NZD 1442.0704 1457.4214 1449.7459 05-May-23
29 PKR 7.7216 8.189 7.9553 05-May-23
30 RWF 2.0503 2.1073 2.0788 05-May-23
31 SAR 614.0879 620.1957 617.1418 05-May-23
32 SDR 3108.2121 3139.2943 3123.7532 05-May-23
33 SEK 224.2391 226.4154 225.3273 05-May-23
34 SGD 1733.7131 1750.3913 1742.0522 05-May-23
35 UGX 0.5959 0.6252 0.6106 05-May-23
36 USD 2302.891 2325.92 2314.4055 05-May-23
37 GOLD 4694834.9766 4742434.584 4718634.7803 05-May-23
38 ZAR 126.3221 127.5455 126.9338 05-May-23
39 ZMW 124.9401 128.2983 126.6192 05-May-23
40 ZWD 0.4309 0.4397 0.4353 05-May-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news