Waziri Mkuu akiteta na Waziri Nchemba, Bashe bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba (kushoto) na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, bungeni jijini Dodoma leo Mei 5, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).