Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak akiri bibi yake alizaliwa na kukulia mkoani Shinyanga
Mwishoni mwa wiki Waziri Mkuu wa Uingereza, Mheshimiwa Rishi Sunak ameshiriki ujumbe binafsi kwa Tanzania baada ya kutawazwa kwa Mfalme wa Uingereza, Charles III. Picha na @RishiSunak). Je wajua bibi yake alizaliwa na kukulia mkoani Shinyanga?. Soma kwa umakini ujumbe huu wa Waziri Mkuu Sunak hapa chini;