
Aidha, Mheshimiwa Rais Dkt.Mwinyi amelenga kuimarisha sekta ya michezo kwa kuwekeza katika ujenzi wa viwanja vipya na kuboresha vya zamani, kuendeleza talanta za vijana na kuboresha mazingira ya michezo. Juu ni muonekano wa Uwanja wa Amaan uliopo jijini Zanzibar ambao unaendelea na ujenzi kwa sasa na ukikamilika, utafanana namna hiyo.