NA DIRAMAKINI
MKURUGENZI
Mtendaji wa Taven Industries Company Limited,Dkt.Gustavus Deusdedith
amesema, nia ya kuanzisha kiwanda hicho ambacho kinajihusisha na
uzalishaji wa nguo za aina mbalimbali nchini ni kuunga mkono jitihada za
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan.
Kiwanda
hicho kilichopo Block D, Plot 716, Chihoni Kata ya Nala jijini
Dodoma,licha ya kuunga mkono jitihada hizo kimetoa fursa za ajira kwa
Watanzania mbalimbali.
"Nia nzima ya uanzishwaji wa kiwanda hiki
cha nguo ni kuunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita hasa
katika Sera ya Viwanda na hivyo kuongeza upatikanaji wa bidhaa hapa hapa
nchini na sio kutoka nje ya nchi.
"Tunaunga mkono Serikali yetu
ya Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sera ya uzalishaji ambayo
imekuwa ikinadiwa kwa miaka kadhaa. Sasa nasi, tumeona tuingie katika
eneo hilo,"amefafanua Dkt.Deusdedith.
HUDUMA ZETU
Uzalishaji na usambazaji wa
1 T-shirt za aina zote
- Za kola (polo)
-Za round
- Zenye shingo v
2. Sare za aina zote
-Za shule
-Za hoteli, viwanda na maeneo ya kazi, biashara na ulinzi
3.Nguo za mitindo mbalimbali
-Tunazalisha kwa mteja aliyeandaa mitindo au sampuli
-Leta nguo ya sampuli au mchoro
-Nguo za watoto
-Nguo za safari
-Nguo za kutokea
-Nguo za kiofisi na sehemu rasmi
-Na mitindo yote iliyoandaliwa au kuandaliwa na wataalamu wetu
4. Huduma za uchapishaji wa nguo kwa njia ya
-Kudarizi
-kuchapa kwa njia ya wino na moto na michoro ya asili
5 Ushauri na uelekezi
Mawasiliano
0716041476
0717514324
0715094290
AU
Jibu kwa kubonyeza namba ya huduma unayotaka ili kupata maelekezo zaidi au tembelea youtube channel yetu https://www.youtube.com/watch?v=3pofnNvsvhE