Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 17,2023

“Umekwenda utalii na maliasili sababu ni moja tu, kuna Jeshi Usu na kule tunasikia kesi za jeshi usu mara wameuana, mara wameua, kuna mambo mengi huko jeshi usu.Sasa wewe ni mwanajeshi mwenzao nenda kasimamie nidhamu ya jeshi usu, hiyo ndio kazi yako kusimamia jeshi letu, hiyo ndio kazi yako mahususi na atakayokupangia waziri wako au katibu mkuu wako,” amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu, Juni 16, 2023 wakati akiwaapisha viongozi wateule Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.













Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news