Kampuni ya Waandaaji wa maonesho ya Biashara, Kilimo, Uwekezaji na Utalii ya Afrika Mashariki (EAC EXPO), wameishukuru serikali mkoani Kagera juu ya kuondoa vikwazo mpakani na kusaidia wafanyabiashara wa Jumuia ya Afrika Mashariki kufika kwa wakati na kuleta bidhaa zao za ubunifu.
Maonesha hayo ambayo yanaandaliwa na SPACT CO LTD kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, yamewakusanya wafanyabiashara zaidi ya 400 kutoka Tanzania,Rwanda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).