Kikao cha kuthibitisha muongozo wa dhana ya Afya Moja

Mratibu wa Maafa kutoka Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu,Bw. Mololo Noah akiongoza kikao cha Kuthibitisha Muongozo wa Utekelezaji wa dhana ya Afya Moja. Kikao hiki kilihusisha washiriki kutoka sekta ya Afya, Mifugo, Mazingira, Wanyamapori, BAKITA na mashirika ya Umoja wa Kimataifa. Kikao kilifanyika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya regency Juni 27, 2023 mkoani Singida.
Baadhi ya washiriki wa kikao cha Kuthibitisha Muongozo wa Utekelezaji wa dhana ya Afya Moja wakifuatilia hoja wakati wa kikao hicho kilichofanyika mkoani Singida
Afisa Mazingira Mkuu kutoka Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Maili Ally Maliki akizungumza wakati wa kikao cha kikao cha Kuthibitisha Muongozo wa Utekelezaji wa dhana ya Afya Moja. Kikao hiki kilihusisha washiriki kutoka sekta ya Afya, Mifugo, Mazingira, Wanyamapori, BAKITA na mashirika ya Umoja wa Kimataifa. Kikao kilifanyika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya regency Juni 27, 2023 mkoani Singida.
Mratibu wa Maafa Mkoa wa Kagera Bw. Issa Mrimi akichangia jambo wakati wa Kuthibitisha Muongozo wa Utekelezaji wa dhana ya Afya Moja. Kikao hiki kilihusisha washiriki kutoka sekta ya Afya, Mifugo, Mazingira, Wanyamapori, BAKITA na mashirika ya Umoja wa Kimataifa. Kikao kilifanyika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Regency Juni 26, 2023 mkoani Singida.

Afisa Programu Afya Moja kuoka Shirika la Afya Duniani (WHO) Bi. Pelagia akifafanua jambo kikao cha Kuthibitisha Muongozo wa Utekelezaji wa dhana ya Afya Moja. Kikao hiki kilihusisha washiriki kutoka sekta ya Afya, Mifugo, Mazingira, Wanyamapori, BAKITA na mashirika ya Umoja wa Kimataifa. 
Baadhi ya washiriki wa kikao cha Kuthibitisha Muongozo wa Utekelezaji wa dhana ya Afya Moja wakifuatilia hoja wakati wa kikao hicho kilichofanyika mkoani Singida.(Picha na OWM).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news