Mke wangu kabadilika sana baada ya kujifungua!

NA MWANDISHI WETU

NDOA yeyote bila ya kuwa na mapenzi ya kweli hukumbwa na misukusuko ya kila aina wakati wowote ule, ni jukumu la kila muhusika katika ndoa kuhakikisha kwamba mapenzi yanazidi kudumu.

Tuliishi na mke wangu kwa amani na upendo, kwa hakika tuliaminiana sana hadi mke wangu alipopata mtoto wa pili katika ndoa yetu na hapo alianza kuwa mkali bila sababu na kushindwa kumuelewa.

Hatukuelewana katika jambo lolote ambalo tulizungumza, jambo dogo tu alikuwa ni mwepesi wa kukasirika, kamwe sikumuelewa kwani upendo ulikuwa umeisha sana.

Kila mara tuligombana kwa ajili ya mambo madogo madogo tu, sio kwamba nilikuwa sitimizi majukumu yangu kama kichwa cha familia, bali kwa sababu ya hasira zake tu.

Ilikuwa ni mwiko kwa jamii yetu mwanaume kuingia jikoni kupika, lakini ilinibidi nifanye hivyo maana yeye alisusa, ilifikia hatua nikafikiria nimfukuze halafu nioe mwanamke mwingine.

Nilipokuwa tayari nimekata tamaa ndipo rafiki yangu Odipo aliponiambia kwamba angenisaidia kubadilisha tabia ya mke wangu na hapo akanielekeza kwa mtaalamu wa miti shamba ambaye anaitwa African Doctors.

African Doctors alinihudumia vilivyo na kunipa dawa fulani za miti shamba ambazo alinishauri niziweke chini ya mto ambao tunautumia mimi na mke wangu.

Walinipa hakikisho kwamba mke wangu angebadi tabia yake mara moja na kuwa mtu mzuri, niliporejea nyumbani nilifuata maagizo yote ya African Doctors, huku nikiwa na imani kuwa mambo yangebadilika kwenye ndoa yetu.

Baada ya siku tatu mke wangu alianza kubadilika, chakula kilipokuwa tayari aliniita majina ya kimapenzi na kunikaribisha nile kama mume wake, ama kwa hakika mapenzi yalikuwa yamesharudi tena kwenye ndoa yetu.

Kila nilipotoka kazini alinikaribisha kwa moyo wa ukarimu na hata kunijali, kila jambo alilotaka kufanya pale nyumbani aliomba ushauri wangu kinyume na hapo awali ambapo alijichukulia maamuzi mwenyewe.

Pia African Doctors ana uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali kama vile magonjwa ya kisukari, kisonono na kaswende kwa muda wa siku tatu tu. Anasuluhisha migogoro ya mashamba na pia kukuwezesha kushinda kesi mahakamani ili kupata haki kwa wakati wowote ule.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news