MTOTO HALIMA ISSA MANYEMA mwenye umri wa miaka tisa amepotea tarehe 19/06/2023.
Mara ya mwisho kuonekana alikuwa akicheza na wenzake Mwananyamala (UJIJI CCM) maeneo ya Magimba.
Alikuwa amevaa gauni la pinki lenye maua meupe. Akionekana tafadhali ripoti kituo chochote cha polisi kilichopo karibu au wasiliana na wazazi wake kwa namba 0753612050. Sambaza ujumbe huu ili mtoto apatikane.