NA DIRAMAKINI
MWINJILISTI wa Kimataifa na mfanyabiashara, Alphonce Temba amesema, miongoni mwa sababu za wafanyabiashara wa nje kukimbia Tanzania ni pamoja na sheria ya kodi kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inayotozwa kwa magari ya mafuta yanayopata ajali na kumwaga mafuta barabarani.
Ameyabainisha hayo Juni 28, 2023 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari ikiwa ni siku moja baada ya kukutana na ugeni kutoka nchini Malawi ambao unahusika na uchukuaji wa mafuta kutoka Bandari ya Dar es Salaam. DIRAMAKINI inakupitisha neno kwa neno kuhusu kile alichokisema, Mwinjilisti Temba. Endelea;
"Leo hii nataka nizungumzie kuhusiana na masuala ya kiuchumi Tanzania, ambayo yanahusiana na masuala ya bandari zetu, wageni hususani nitaongelea kuhusu wageni wa nje ambao tunawategemea waje Tanzania, tuna bandari ambayo tunategemea wageni zaidi kutoka nje kuna nchi zaidi ya 10 ambazo zinatuzunguka zikiwemo za visiwa vya bahari.
"Ambazo wanakuja bandarini, wanakuja Kariakoo kuchukua mizigo, sasa kuna vitu ambavyo nimevigundua mimi, na Watanzania wengi hawavijui, nikasema siwezi kukaa kimya, nivizungumzie, ili Tanzania ivirekebishe na ushaidi, Waziri Mkuu alivyokuwa Kariakoo, wafanyabiashara wenyewe wa Kariakoo walisema, kwamba jamani wageni hawaji tena.
"Kumekuwa na shida, siyo kama zamani, tunashida, kwa hiyo sasa Waziri Mkuu alizungumza wazi na viongozi mbalimbali walizungumza wazi, hata nia ya Mheshimiwa Rais kwamba, bandari hii itunufaishe sisi na nchi zinazotuzunguka, nadhani hicho ndiyo kitu ambacho wanachozungumzia hata bungeni.
"Sasa, kuna vitu ambavyo vipo ndani ya nchi hii, vya ovyo nadhani lazima tuvizungumze kama havitafanyika, na ni watu wenye ujasiri tu wanaweza kuvizungumza kama Alphonce Temba, anaweza akavizungumza wengine ni yada yada tu, wanaogopa tu, lakini mimi ninasema kwa sababu nina ujasiri wa ki-Mungu ninasema ili Watanzania watusikie wajue shida tunayoipata ipo miongoni mwetu wenyewe.
"Jana tarehe 27 (Juni 27, 2023) nilipata ugeni kutoka Malawi ambao wana kampuni inayohusika, Malawi wametengeneza kampuni ambayo inahusika kusimama na magari yote yanayokuja kuchukua fuel kwa maana ya petroli Tanzania, kwa hiyo kuna magari yanakuja kuchukua petroli Tanzania ambayo yapo 200 mpaka 250.
"Na kuna magari yanakwenda kuchukua petroli huko Beira nchini Msumbiji, sasa nilikuwa na huo ugeni na waliniomba niwapeleke maeneo mpaka Vigwaza wakaona mzani, na tukaenda hadi kule Kwala bandari kavu.
"Kwa ajili ya kuona,kwa sababu wamekuwa wakisikia bandari kavu kwa kasi sana kupitia mitandao,lakini mwakilishi wao kutoka Malawi alikuja kutoka Malawi ili kuthibitisha, aone kwa macho na ajiridhishe na pamoja na kuwasikila madereva wao Tanzania na shuruba wanazozipata na baadhi ya sheria mbovu za TRA na za aibu zinazosababisha nchi hii kuendelea kuwa maskini.
"Sasa, kwa sababu walishare na mimi na bahati nzuri kuna document ambayo walinipa ambayo nitawapa waandishi wa habari (anaionesha), kwa kweli TRA, na zina nembo ya TRA, haya ni madudu...Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa nia yake thabiti ya kuifanya hii nchi iendelee kufanya biashara na mataifa ya nje, hiki ninachokisema Mheshimiwa Rais kama hakitafanyiwa kazi, tusahau kabisa kuona wageni wakija nchini kufanya kazi na bandari yetu ya Dar es Salaam.
"Kwa sababu nchi nyingine huu uchafu haupo, na ni wa TRA na document ya TRA hii hapa (anaionesha kwa waandishi wa habari), kwa ufupi ni kwamba, ipo sheria hasa ya magari ya kubeba petroli na dizeli, ipo sheria ya kwamba endapo lile gari linapata ajali, kwa mfano tukio la hawa Wamalawi, gari lao lilipata ajali kwa kugongwa nyuma na gari lingine likagonga ile boneti ya nyuma ikaichana.
"Petroli ikamwagika barabarani na video zake ninazo pia (anazionesha), sasa ile petroli ilivyoanza kumwagika barabarani ikamwagika...ikamwagika, wakafuata taratibu zote.
"Ikiwemo pamoja na kulihusisha Jeshi la Polisi kwa maana ya askari wa usalama barabarani, michooro na taratibu zote ikaonekana wazi kwa jeshi la polisi kwamba Mmalawi amegongwa na Mtanzania na ile ajali imesababishwa na uzembe wa dereva wa nyuma kwa sababu alikuwa amesimama akaenda kugonga huko nyuma.
"Sasa, cha ajabu TRA, wameng'ang'ania Wamalawi wanasema kuna tax au kuna kodi unatakiwa ulipiwe kwa maana kilichopotea kilipiwe kodi, wanakisia kimetumika kwa sababu hakijavuka border,sasa ikaja hesabu ya milioni 20, kwamba Wamalawi walipe milioni 20 kwa sababu ya mafuta yaliyomwagika, yaliyosababishwa na ajali iliyosababishwa na Matanzania.
"Yaani unaona vitu vya ajabu ajabu hivi ambavyo Watanzania hawavijui, ebu angalieni Watanzania wengi hatujui mambo kama haya, hii kodi TRA wanayo na watu wa TRA wanajua.

"Watu wa bodi ya bandari wanajua, kwa sababu hauwezi kukaa pale kama mjumbe wa bodi haujui hii, kama ni hivyo, hauna sifa ya kuwa pale, Mheshimiwa Rais haukuteua bure,alikuweka ili hizi kero ndogo ndogo zisiwepo, yafaa ujiuzulu.
"Sasa, leo Mmalawi anadaiwa, lakini ile ile sheria inasema, aliyetoa huo mzigo labda ni...alipe, sasa Wamalawi wameenda kwa yule aliyetoa ule mzigo, jamani ee! mzigo ulioweka, ripoti ya polisi hii hapa, gari imegongwa, ushaidi huu hapa, na picha ya video hii hapa,aliyesababisha haya si sisi, ni ajali iliyosababishwa na mtu mwingine, hata kama ingekuwa ajali ya kawaida tu, tairi imechomoka, gari limeanguka au limeingia kwenye mtaro.
"Mafuta yamemwagika, tunatakiwa tulipe yale mafuta ambayo yamemwagika chini?, kuna duty, lakini pia ninadhani kuna duty nyingine pia ya kujaza yale mafuta, tayari yana duty nadhani, lakini kuna kodi nyingine, mafuta yakimwagika hata ukichukua yale mafuta yakamwagika chini, kuna kodi sasa mimi nikamuuliza kitu kimoja, Msumbiji wanafanyaje tukio kama hilo.
"Unajua, hili uweze kufanya biashara, lazima ujue pia mwenzako anayefanya biashara yeye kwenye kitu kama hicho naye anatekeleza sheria zinazofanana au wewe utoke kwenye hiyo hali uwavutie wenzako, au unafanya tofauti.
"Alichoniambia ni kwamba, Msumbiji ikitokea sababu yoyote hata iwe kugongwa au wewe mwenyewe usababishe gari ianguke, labda ni ajali, na ikatokea mafuta yakamwagika yote sheria yao inaelekeza kwamba, lazima ufanye usafi katika hilo eneo.
"Yaani pamoja na polisi kuja kufanya ule mchoro, wewe unafanya usafi, utachukua sabuni, utachukua mchanga, utachukua nini au utachukua watu wa kufanya usafi, hiyo ni kazi yako wewe.
"Lakini, polisi watakapokuja kule Msumbiji wataangalia lile eneo la barabara yao lipo kama mwanzo? Na kuhakikisha halina mafuta tena, sasa Tanzania akaniambia, angalia sasa tuna magari 400 tulitamani tuyapunguze kule tuyalete huku, na Msumbiji kwenda mpaka Malawi ni kama kilomita 800 tu, wakati kutoka hapa Dara es Salaam Tanzania mpaka Malawi ni zaidi ya kilomita 2000.
"Lakini, wanathamini huku na kitu kinachosababisha ni kimoja tu, kule kuna kilomita chache lakini kuna milima na barabara ni mbaya, lakini pia suala la usalama, ninafahamu Msumbiji ilivyokaa, wakati Tanzania tuna barabara mkeka, kuanzia hapa mpaka Tunduma, nzuri na wanaikubali, wanasema kwa upande wa barabara tunapaswa kupewa saluti.
"Lakini, hii sheria ambayo kule Msumbiji unaambiwa ufanye usafi, huku unaambiwa ulipe kodi kama mafuta yametumika, jamani hii sheria hata kama mtu ni wa darasa la saba, kule kuna watu wamekaa wachumi TRA.

"Mnatuleteaje sheria za namna hii, wakati tunataka watu waje wafanye biashara, wewe mtu wa kodi ambaye ni mchumi uliyesoma kwa kodi ya nchi hii, kwa mafuta haya haya ya nchi hii,hauoni kwamba hivi ni vitu vigumu ambavyo unaviweka?.
"Mombasa haipo Beira haipo,Walvis Bay ya Namibia nimekaa kule hii sheria haipo,Afrika Kusini pia haya mambo hayapo, sasa leo unamwambia mtu alipe duty ya milioni 20, sasa mtu mwenye magari mawili au matatu si anafilisika, haya ni baadhi ya mambo ambayo nimesema, siwezi kuyavumilia, na nikawaomba wamenipa data.
"Data zipo hapa, na mambo haya Watanzania hawayajui, labda kama nyie waandishi wa habari mnayajua, lakini wabunge pia inawezekana hawayajui, na haya ndiyo baadhi ya mambo, kitu kinakwenda bungeni nao wanakuwa kama wanacheza muziki, kwa sababu unaendelea na jambo, lakini haulijui.
"Kwa hiyo, hoja yangu ya msingi ni kwamba, mimi ninaiomba TRA, hii sheria waliyoiweka ndiyo inayosababisha bandari yetu isipate wateja kutoka nje ya nchi, kuja kuchukua mafuta pamoja na umbali wote, yaani mtu anaacha kwenda mahali ambapo kuna utofauti wa nafuu ya zaidi ya kilomita 1000 karibu, lakini anakuja huku na anakutana na kitu kwamba, eti gari limepata ajali na umesababisha wewe Mtanzania, halafu mafuta yamemwagika halafu unamwambia alipe shilingi milioni 20.
"Na kadri yakizidi, kwa sababu TRA wanaenda kupima, kwa hiyo mafuta yangeisha yaani yangemwagika yote yale ina maana angeambiwa alipe labda milioni 100, labda milioni 300, labda milioni 400 kwa hiyo wito wangu kwa Serikali ifanyie kazi kasoro hii.

"Halafu ngoja niwaambie mimi nimekaa nchi 13, ni Mtanzania niliyezaliwa hapa, nimekaa nchi 13 duniani, hii biashara ya kusema kwamba Serikali inaongozwa na viongozi ni makosa.
"Serikali inaongozwa na wananchi na viongozi, na ndiyo maana viongozi wanapigiwa kura yaani Serikali haiwezi kuongoza tu mawaziri, Rais na waziri mkuu peke yao, hapana inaongozwa kwa ushirikiano na wananchi.

"Na ndiyo maana hata kwenye Katiba inasema, kila Mtanzania ni mlinzi wa rasilimali ya Taifa, na ndiyo maana hakuna polisi anayemkamata jambazi bila kuambiwa kwenye simu kwamba fulani anaiba,au fulani yupo hapa ni mwizi.
"Yaani polisi, ukiondoa wananchi wakanyamaza kimya, hakuna jeshi la polisi, Uhamiaji wanakamata watu na kila siku wanakamata kwenye misitu, ni kwa sababu ya wananchi sasa utasemaje Serikali ndiyo inaongoza bila wananchi?.

"Hizi ndiyo fikira potofu, Watanzania wanashindwa kusema vitu vya uhakika kwa sababau ya hiyo yada yada, mimi Alphonce Temba kila baada ya miezi miwili ninakuwa ninazungumza kulingana na Katiba ya nchi, inaniambia mimi ni mlinzi wa Jamhuri,ni mlinzi wa rasilimali ya nchi na ni mlinzi wa mali.
"Haya mambo ninayoyazungumza, Mtanzania unapaswa kufahamu unapotaka kuyazungumza unapaswa kuwa na data na facts, kwa hiyo hili ni jambo ambalo nimeona nilizungumzie, kwamba ndugu zetu wanapata kero nyingi sana, sitaki kwenda huko, lingine kabla wabunge hawajaondoka, watuondolee hii sheria.
"Ngoja nikwaambie, nimwambie Mwigulu Nchemba (Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Nchemba), zipo kodi nyingi jamani, hivi hawa wabunge mbona wapo smart, mbona wapo smart kujua zipo kodi nyingi? Kwa nini kuhangaika na mtu mafuta yamemwagika halafu unamwambia yameshatumika nchini?.
"Eti alipe kodi milioni 20, hiki kitu hakiwezekani, hiki kitu hakiwezekani kabisa kwenye kizazi cha leo, tutapoteza watu wa nje kwa sababu ya sheria mbovu tunazotekeleza na ninashangaa hii bodi ya bandari haiyaoni haya, kwa sababu ilikuwa ni kazi yao kuchakachua kitu kama hivi.
"Kuviona, na kushauri halafu Bunge kubadilisha sheria, Mwigulu nimwambie kitu kimoja, akitaka kodi ya namna hiyo, watu sasa hivi wananunua magari kwa namba, na wengi wanakimbilia huko kwenye namba maalumu,mimi Alphonce Temba ninataka namba yangu iitwe Alphonce Temba, toa milioni moja, upewe miaka miwili watu si wanapenda majina waonekane wa kisasa, toa special names, South Africa zipo.
"Nigeria zipo, nchi nyingi, Ghana zipo toa special names kwa mtu, mtu anataka gari lake lionekana jina lake, punguza usiseme milioni tatu au milioni tano, achana na hiyo biashara, yaani chukua hela kidogo upate watu wengi, milioni moja special names mtu anapewa miaka miwili.
"Anaweza kurenew, hivyo hivyo, akishindwa anarudi kwenye namba yake A,mimi ninadhani ni hiyo, kwa sababu kuna watu uuzaji wa namba tu kwa gari hiyo yenye tofauti wa namba A na E anaweza kupata faida hata ya milioni 10 au hata milioni 15, sasa wewe kama upo smart kwenye mambo ya uchumi, watu wa uchumi kwa nini hauwezi kuona kwamba hapa kuna fedha?.
"Bandari yetu kutoka Dar es Salaam mpaka Kilwa, haivuliwi, Namibia kuna Waziri wa Samaki na Uvuvi, yaani Waziri kabisa wa samaki na uvuvi, lakini sehemu ya Namibia inayovuliwa ya Tanzania ni zaidi ya mara tatu, kwa nini na tunakwama wapi jamani? Ndiyo maana ninasema, mimi Alphonce Temba, baada ya miezi miwili nitakuwa ninaongea na waandishi wa habari kuhusu mambo ya uchumi.
"Na ninataka pia Watanzania wawe wawekezaji hapa, kuna wawekezaji wengine hapa ni yadayada tu, mitaji wanayo Kariakoo hapo kuna watu wana mitaji ya milioni 100 hadi milioni 200, lakini kwa sababu ya kukosa uelewa wanaonekana kama watu wasio na biashara.
"Kwa hiyo nitatoa hiyo elimu bure, kwa hiyo kwa leo nimekuja kulizungumzia hili, kwamba hili suala halikubaliki, hata kwa sisi Watanzania, kama kuna Watanzania wanaona mimi nimewakosea, kwa hili sitaomba msamaha, kwa sababu haiwezekani na hauwezi kumpata hata mtoto wa darasa la saba kumweleza kwamba, mafuta yamemwagika, kwamba mtu alipe kodi kwa mafuta yaliyomwagika.
"Haijalishi ni lita moja, ni lita 1000, kwa sababu kwa kufanya hivyo, wakati mataifa mengine hayafanyi, hatumpati mtu wa kuleta malori kuja kuchukua mafuta Dar es Salaam, hata tuboresheje, hata tumlete DP (DP World), mmlete nani, kwa hiyo nimezungumza kwa hasira kubwa, kwa sababu watu wanasumbuliwa sasa hivi, wanasema sasa tunafanyaje? Tumekuja kufanya tathimini ya mwisho na huenda ndiyo safari ya mwisho ya malori kuja huku.
"Nikawaambia, hapana vuteni subira, labda imekuwa mpango wa Mungu mimi na ninyi kukutana pamoja ili niweze kulifanyia kazi, nimewaambia nitapasa sauti na hii sauti haitaenda bure.
"Kuna watu wataisikia na watatamani kuona kwamba hii sheria iondolewe haraka sana, kama mtu kudeki akimwaga mafuta pale adeki, kama kulikuwa na targets kwamba kuna watu wanakata mafuta wanasema kwamba ajali kuwepo na ushaidi wa kutosha kuhusu ajali hiyo imetokeaje.
"Ziwepo sheria za kubaini juu ya hilo tatizo, lakini si sheria za kutafuta fedha kwa namna hii, kwamba mtu ana mzigo wake kwenda Rwanda...
"Sasa kama mtu akiuangusha kimakusudi, inakuwaje? Kwa sababu kuna watu wanaweza kutaka kumfilisi mtu mwingine, likatobolewa tenki huko Morogoro barabarani huko au Iringa mtu akaamua tu kupasua tenki la mtu, mafuta yakamwagika yote ili mtu ashuke chini, ili wamkamate, ili TRA wampige kodi ya milioni 300, jamani, hivi TRA njooni basi nipo tayari kutoa ushauri bure.
"Mimi nipo vizuri, nina maisha yangu ili muweze kufanya kazi nzuri ya kulijenga Taifa,na kwa ushauri wenu mimi nilikuwa mshauri wa JK,muulizeni JK yupo hai, alinitoa Botswana mwaka 2005 nimemshauri kwa miaka 10 mimi, kama mshauri binafsi.
"Rais yupo nje, yupo Marekani, yupo wapi...ananipigia simu mpaka saa 10 usiku. Ngoja niwaambie kitu kimoja, ninazungumza haya kwa sababu wapo watu wanaweza kusema huyu kahongwa, huyu kapewa fedha, huyu katumwa kwa sababu hiyo lugha ipo, kwamba huyu katumwa au kafanya nini.
"Mimi JK siku tatu kabla hajaenda kwenye uchaguzi 2010 nilikuwa na conference call mimi na JK pamoja na TB Joshua (marehemu kwa sasa), kuzungumzia kumbuka kipindi kile kulikuwa na zile kura sijui walikuwa wanasema ni kura za nini, maruani sijui zile kwa hiyo siku tatu kabla hatujaenda kupiga kura, 2010 nilikuwa kwenye simu saa tano ya usiku.
"Kwenye Conference call na JK na TB Joshua, sasa ebu niambie mimi Alphonce Temba kama hakuna Mtanzania ambaye anaweza kulijua hili kwamba niliweza kumuunganisha Rais akiwa madarakani akaweza kuongea na mtumishi wa Mungu kule, kwa habari ya uchaguzi na mengine mengi, nimekuwa mshauri wa Rais wa Zambia, Michael Satta kwa miaka mitatu.
"Miaka mitatu nilikuwa mshauri wake Ikulu, ushaidi wote upo, sasa leo imekuwa ni ngumu ninaona kitu au uchafu unafanyika pale ninashindwa kuvumilia, ninashindwa yaani ninakuwa kama ninachanganyikiwa, ninakuwa kama ninahemka, ninakuwa najiona kama ninatenda dhambi,nipo tayari kutoa ushauri kwa ustawi bora wa Taifa letu la Tanzania,"amefafanua Mwinjilisti Temba.