Rais Dkt.Mwinyi ateta na Balozi wa India nchini Tanzania


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa India nchini Tanzania, Mheshimiwa Biyana.S.Pradhan alipofika Ikulu leo Juni 23, 2023 jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa India nchini Tanzania, Mheshimiwa Biyana .S.Pradhan (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo akiwa na ujumbe wake.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news