NA MWANDISHI WETU
JUNI 26, 2023 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mheshimiwa Rosemarry Senyamule amekagua ujenzi wa uwanja mpya wa Mashujaa unaojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma.
Kushoto kwa Mkuu wa Mkoa anayetoa maelezo ni Mratibu wa ujenzi wa Mji wa Serikali, Bw.Meshach Bandawe.
Awamu ya kwanza ya ujenzi wa uwanja huo unahusisha eneo la uwanja wa gwaride na Mnara wa Mashujaa ambao unatarajiwa kukamilika ifikapo Juni 30, 2023.
Awamu ya kwanza ya ujenzi wa uwanja huo unahusisha eneo la uwanja wa gwaride na Mnara wa Mashujaa ambao unatarajiwa kukamilika ifikapo Juni 30, 2023.