Vikundi vya Ngoma vya Buyegu, Basesilia, Matwi, na Kwaya ya Utumishi wa Umma kutoka Mwanza wakitumbuiza katika Hafla ya Ufunguzi wa Tamasha la Bulabo Mwanza unaofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Juni 13, 2023 katika Viwanja vya Kisesa Wilaya ya Magu.

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, Viongozi mbalimbali, Machifu na wananchi wamehudhuria ufunguzi huo.Tamasha hilo litaendelea hadi Juni 17 kwa burudani ya Ngoma mbalimbali, elimu ya Ukatili wa Kijinsia na maenesho ya wajasiriamali.