Ungana na Mheshimiwa Waziri Mhandisi Masauni, Msemaji Mkuu wa Serikali leo saa tatu usiku Clubhouse wana jambo
Jumamosi hii ya Juni 3, 2023 ndani ya Clubhouse ya Msemaji Mkuu wa Serikali. Mjadala utaangazia juu ya jitihada za Kuimarisha Usalama wa Raia na Mali Zao na Kuboresha Jeshi la Polisi nchini Tanzania. https://www.clubhouse.com/invite/2NlkAr83