Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 1, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1691.32 na kuuzwa kwa shilingi 1707.73 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2534.84 na kuuzwa kwa shilingi 2559.06.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.66 na kuuzwa kwa shilingi 16.81 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.25.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 1, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 211.96 na kuuzwa kwa shilingi 214.02 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 116.65 na kuuzwa kwa shilingi 117.76.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2307.97 na kuuzwa kwa shilingi 2331.05 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7501.93 na kuuzwa kwa shilingi 7574.49.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2855.19 na kuuzwa kwa shilingi 2884.67 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.03 na kuuzwa kwa shilingi 2.08.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 628.46 na kuuzwa kwa shilingi 634.57 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 148.10 na kuuzwa kwa shilingi 149.41.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2465.14 na kuuzwa kwa shilingi 2490.73.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.53 na kuuzwa kwa shilingi 16.69 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 324.78 na kuuzwa kwa shilingi 327.96.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1494.87 na kuuzwa kwa shilingi 1510.05 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3071.68 na kuuzwa kwa shilingi 3102.39.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June1st, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 628.4638 634.5756 631.5197 01-Jun-23
2 ATS 148.1026 149.4148 148.7587 01-Jun-23
3 AUD 1494.8724 1510.0542 1502.4633 01-Jun-23
4 BEF 50.5192 50.9664 50.7428 01-Jun-23
5 BIF 2.2098 2.2264 2.2181 01-Jun-23
6 CAD 1691.3163 1707.7289 1699.5226 01-Jun-23
7 CHF 2534.8383 2559.0625 2546.9504 01-Jun-23
8 CNY 324.778 327.9612 326.3696 01-Jun-23
9 DEM 924.7787 1051.2063 987.9925 01-Jun-23
10 DKK 331.0627 334.3397 332.7012 01-Jun-23
11 ESP 12.2484 12.3565 12.3025 01-Jun-23
12 EUR 2465.1431 2490.7269 2477.935 01-Jun-23
13 FIM 342.7543 345.7915 344.2729 01-Jun-23
14 FRF 310.6829 313.4311 312.057 01-Jun-23
15 GBP 2855.19 2884.6744 2869.9322 01-Jun-23
16 HKD 294.6395 297.5745 296.107 01-Jun-23
17 INR 27.9096 28.1812 28.0454 01-Jun-23
18 ITL 1.0525 1.0618 1.0572 01-Jun-23
19 JPY 16.528 16.6897 16.6089 01-Jun-23
20 KES 16.664 16.8064 16.7352 01-Jun-23
21 KRW 1.7412 1.7578 1.7495 01-Jun-23
22 KWD 7501.9349 7574.4923 7538.2136 01-Jun-23
23 MWK 2.0907 2.2487 2.1697 01-Jun-23
24 MYR 500.3188 504.7748 502.5468 01-Jun-23
25 MZM 35.694 35.9952 35.8446 01-Jun-23
26 NLG 924.7787 932.9798 928.8793 01-Jun-23
27 NOK 205.5018 207.4904 206.4961 01-Jun-23
28 NZD 1385.7054 1400.728 1393.2167 01-Jun-23
29 PKR 7.6887 8.1611 7.9249 01-Jun-23
30 RWF 2.0267 2.0843 2.0555 01-Jun-23
31 SAR 615.4424 621.5636 618.503 01-Jun-23
32 SDR 3071.6777 3102.3945 3087.0361 01-Jun-23
33 SEK 211.9621 214.0208 212.9914 01-Jun-23
34 SGD 1704.4313 1720.8401 1712.6357 01-Jun-23
35 UGX 0.5869 0.6159 0.6014 01-Jun-23
36 USD 2307.9702 2331.05 2319.5101 01-Jun-23
37 GOLD 4527106.8174 4573799.826 4550453.3217 01-Jun-23
38 ZAR 116.6507 117.7643 117.2075 01-Jun-23
39 ZMW 115.1019 119.541 117.3214 01-Jun-23
40 ZWD 0.4319 0.4407 0.4363 01-Jun-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news