Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 19, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2967.43 na kuuzwa kwa shilingi 2997.57 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.01 na kuuzwa kwa shilingi 2.06.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 629.34 na kuuzwa kwa shilingi 635.58 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 148.32 na kuuzwa kwa shilingi 149.64.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 19, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2533.81 na kuuzwa kwa shilingi 2560.08.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.38 na kuuzwa kwa shilingi 16.54 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 324.78 na kuuzwa kwa shilingi 327.80.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1590.97 na kuuzwa kwa shilingi 1607.11 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3084.85 na kuuzwa kwa shilingi 3115.70.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1749.90 na kuuzwa kwa shilingi 1766.87 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2594.51 na kuuzwa kwa shilingi 2619.27.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.60 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.51 na kuuzwa kwa shilingi 16.65 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 218.78 na kuuzwa kwa shilingi 220.91 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 127.47 na kuuzwa kwa shilingi 128.69.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2311.44 na kuuzwa kwa shilingi 2334.56 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7536.75 na kuuzwa kwa shilingi 7609.63.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June 19th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 629.3416 635.583 632.4623 19-Jun-23
2 ATS 148.3255 149.6397 148.9826 19-Jun-23
3 AUD 1590.968 1607.1111 1599.0395 19-Jun-23
4 BEF 50.5953 51.0431 50.8192 19-Jun-23
5 BIF 2.2131 2.2298 2.2214 19-Jun-23
6 CAD 1749.902 1766.866 1758.384 19-Jun-23
7 CHF 2594.5062 2619.2752 2606.8907 19-Jun-23
8 CNY 324.7826 327.8002 326.2914 19-Jun-23
9 DEM 926.1712 1052.7892 989.4802 19-Jun-23
10 DKK 340.1435 343.5197 341.8316 19-Jun-23
11 ESP 12.2669 12.3751 12.321 19-Jun-23
12 EUR 2533.8067 2560.0785 2546.9426 19-Jun-23
13 FIM 343.2704 346.3122 344.7913 19-Jun-23
14 FRF 311.1507 313.9031 312.5269 19-Jun-23
15 GBP 2967.4338 2997.575 2982.5044 19-Jun-23
16 HKD 295.4528 298.3882 296.9205 19-Jun-23
17 INR 28.223 28.4976 28.3603 19-Jun-23
18 ITL 1.0541 1.0634 1.0588 19-Jun-23
19 JPY 16.3793 16.5419 16.4606 19-Jun-23
20 KES 16.5103 16.6516 16.581 19-Jun-23
21 KRW 1.8148 1.8322 1.8235 19-Jun-23
22 KWD 7536.749 7609.6352 7573.1921 19-Jun-23
23 MWK 2.0934 2.2322 2.1628 19-Jun-23
24 MYR 501.2894 505.5348 503.4121 19-Jun-23
25 MZM 35.6155 35.9163 35.7659 19-Jun-23
26 NLG 926.1712 934.3846 930.2779 19-Jun-23
27 NOK 220.0915 222.2353 221.1634 19-Jun-23
28 NZD 1440.9551 1456.2985 1448.6268 19-Jun-23
29 PKR 7.6588 8.1264 7.8926 19-Jun-23
30 RWF 2.0101 2.0641 2.0371 19-Jun-23
31 SAR 616.3691 622.4995 619.4343 19-Jun-23
32 SDR 3084.8552 3115.7038 3100.2795 19-Jun-23
33 SEK 218.7812 220.9147 219.848 19-Jun-23
34 SGD 1731.0309 1747.6867 1739.3588 19-Jun-23
35 UGX 0.603 0.6327 0.6178 19-Jun-23
36 USD 2311.4456 2334.56 2323.0028 19-Jun-23
37 GOLD 4543585.3924 4589744.96 4566665.1762 19-Jun-23
38 ZAR 127.4711 128.6989 128.085 19-Jun-23
39 ZMW 116.2313 119.3355 117.7834 19-Jun-23
40 ZWD 0.4325 0.4413 0.4369 19-Jun-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news