Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 26, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.60 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 26, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1545.88 na kuuzwa kwa shilingi 1561.81 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3101.95 na kuuzwa kwa shilingi 3132.97.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 215.28 na kuuzwa kwa shilingi 217.38 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 123.65 na kuuzwa kwa shilingi 124.84.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2313.50 na kuuzwa kwa shilingi 2336.64 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7524.82 na kuuzwa kwa shilingi 7597.59.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2942.78 na kuuzwa kwa shilingi 2972.67 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.04.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 629.88 na kuuzwa kwa shilingi 636.03 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 148.46 na kuuzwa kwa shilingi 149.77.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2515.70 na kuuzwa kwa shilingi 2541.79.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.14 na kuuzwa kwa shilingi 16.30 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 322.31 na kuuzwa kwa shilingi 325.39.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.48 na kuuzwa kwa shilingi 16.62 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.11 na kuuzwa kwa shilingi 2.28.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1751.33 na kuuzwa kwa shilingi 1768.71 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2574.56 na kuuzwa kwa shilingi 2600.02.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June 26th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 629.8851 636.1319 633.0085 26-Jun-23
2 ATS 148.4577 149.7731 149.1154 26-Jun-23
3 AUD 1545.884 1561.8102 1553.8471 26-Jun-23
4 BEF 50.6404 51.0886 50.8645 26-Jun-23
5 BIF 2.2151 2.2317 2.2234 26-Jun-23
6 CAD 1751.3285 1768.7079 1760.0182 26-Jun-23
7 CHF 2574.5659 2600.0223 2587.2941 26-Jun-23
8 CNY 322.3094 325.392 323.8507 26-Jun-23
9 DEM 926.9964 1053.7272 990.3618 26-Jun-23
10 DKK 337.8563 341.1851 339.5207 26-Jun-23
11 ESP 12.2778 12.3861 12.332 26-Jun-23
12 EUR 2515.7052 2541.797 2528.7511 26-Jun-23
13 FIM 343.5762 346.6208 345.0985 26-Jun-23
14 FRF 311.428 314.1828 312.8054 26-Jun-23
15 GBP 2942.7783 2972.6735 2957.7259 26-Jun-23
16 HKD 295.5007 298.4405 296.9706 26-Jun-23
17 INR 28.2163 28.4925 28.3544 26-Jun-23
18 ITL 1.055 1.0644 1.0597 26-Jun-23
19 JPY 16.1445 16.3003 16.2224 26-Jun-23
20 KES 16.4838 16.625 16.5544 26-Jun-23
21 KRW 1.7669 1.7831 1.775 26-Jun-23
22 KWD 7524.8169 7597.5939 7561.2054 26-Jun-23
23 MWK 2.1071 2.2793 2.1932 26-Jun-23
24 MYR 494.9732 499.3888 497.181 26-Jun-23
25 MZM 35.6473 35.9483 35.7978 26-Jun-23
26 NLG 926.9964 935.2171 931.1068 26-Jun-23
27 NOK 212.8692 214.9208 213.895 26-Jun-23
28 NZD 1416.7904 1432.1266 1424.4585 26-Jun-23
29 PKR 7.6753 8.1515 7.9134 26-Jun-23
30 RWF 1.9906 2.043 2.0168 26-Jun-23
31 SAR 616.8689 623.0043 619.9366 26-Jun-23
32 SDR 3101.9475 3132.9669 3117.4572 26-Jun-23
33 SEK 215.2839 217.376 216.3299 26-Jun-23
34 SGD 1710.4132 1726.879 1718.6461 26-Jun-23
35 UGX 0.6052 0.635 0.6201 26-Jun-23
36 USD 2313.505 2336.64 2325.0725 26-Jun-23
37 GOLD 4441232.2143 4487027.5937 4464129.904 26-Jun-23
38 ZAR 123.6474 124.8418 124.2446 26-Jun-23
39 ZMW 132.0059 137.0463 134.5261 26-Jun-23
40 ZWD 0.4329 0.4417 0.4373 26-Jun-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news