Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 28, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.49 na kuuzwa kwa shilingi 16.64 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.11 na kuuzwa kwa shilingi 2.28.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1759.29 na kuuzwa kwa shilingi 1776.34 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2590.7 na kuuzwa kwa shilingi 2615.44.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 28, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.60 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.22 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1552.93 na kuuzwa kwa shilingi 1569.63 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3089.20 na kuuzwa kwa shilingi 3120.09.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 216.10 na kuuzwa kwa shilingi 218.20 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 125.56 na kuuzwa kwa shilingi 126.79.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2315.05 na kuuzwa kwa shilingi 2338.2 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7540.39 na kuuzwa kwa shilingi 7612.07.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2951.92 na kuuzwa kwa shilingi 2982.37 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.96 na kuuzwa kwa shilingi 1.03.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 630.30 na kuuzwa kwa shilingi 636.56 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 148.56 na kuuzwa kwa shilingi 149.87.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2538.68 na kuuzwa kwa shilingi 2565.00.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.14 na kuuzwa kwa shilingi 16.29 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 321.13 na kuuzwa kwa shilingi 324.25.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June 28th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 630.3056 636.5566 633.4311 28-Jun-23
2 ATS 148.5567 149.8731 149.2149 28-Jun-23
3 AUD 1552.9352 1569.6337 1561.2844 28-Jun-23
4 BEF 50.6741 51.1227 50.8984 28-Jun-23
5 BIF 2.2165 2.2332 2.2249 28-Jun-23
6 CAD 1759.2898 1776.3428 1767.8163 28-Jun-23
7 CHF 2590.7 2615.4362 2603.0681 28-Jun-23
8 CNY 321.1332 324.2546 322.6939 28-Jun-23
9 DEM 927.6153 1054.4307 991.023 28-Jun-23
10 DKK 341.0001 344.3593 342.6797 28-Jun-23
11 ESP 12.286 12.3944 12.3402 28-Jun-23
12 EUR 2538.6832 2565.0054 2551.8443 28-Jun-23
13 FIM 343.8056 346.8522 345.3289 28-Jun-23
14 FRF 311.6359 314.3925 313.0142 28-Jun-23
15 GBP 2951.9197 2982.3741 2967.1469 28-Jun-23
16 HKD 295.5471 298.4987 297.0229 28-Jun-23
17 INR 28.2485 28.5119 28.3802 28-Jun-23
18 ITL 1.0557 1.0651 1.0604 28-Jun-23
19 JPY 16.1361 16.2964 16.2162 28-Jun-23
20 KES 16.4948 16.6361 16.5655 28-Jun-23
21 KRW 1.7849 1.8019 1.7934 28-Jun-23
22 KWD 7540.3867 7612.0715 7576.2291 28-Jun-23
23 MWK 2.1085 2.2809 2.1947 28-Jun-23
24 MYR 496.5786 500.6852 498.6319 28-Jun-23
25 MZM 35.6711 35.9723 35.8217 28-Jun-23
26 NLG 927.6153 935.8415 931.7284 28-Jun-23
27 NOK 216.3375 218.4295 217.3835 28-Jun-23
28 NZD 1432.7841 1448.0473 1440.4157 28-Jun-23
29 PKR 7.8406 8.2186 8.0296 28-Jun-23
30 RWF 1.9648 2.0272 1.996 28-Jun-23
31 SAR 617.2807 623.4203 620.3505 28-Jun-23
32 SDR 3089.2021 3120.0941 3104.6481 28-Jun-23
33 SEK 216.1053 218.2052 217.1553 28-Jun-23
34 SGD 1719.1812 1735.7286 1727.4549 28-Jun-23
35 UGX 0.6051 0.6349 0.62 28-Jun-23
36 USD 2315.0496 2338.2 2326.6248 28-Jun-23
37 GOLD 4464086.81 4509218.7 4486652.755 28-Jun-23
38 ZAR 125.5647 126.7867 126.1757 28-Jun-23
39 ZMW 130.6112 131.19 130.9006 28-Jun-23
40 ZWD 0.4332 0.442 0.4376 28-Jun-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news