Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze mkoani Pwani,Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete bungeni jijini Dodoma leo Juni 2, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).