Hatimaye nimepata kazi baada ya kusota

NA MWANDISHI WETU

NI mwaka wa nne sasa tangu nimehitimu masomo yangu ya Chuo Kikuu, nimetafuta kazi na kufanya interview nyingi sana bila mafanikio, hali ambayo inaniumiza sana kutokana kuna wadogo zangu wananitegemea sana kwa sababu mimi ndiye kijana pekee katika familia yetu.

Pia mimi ndiye mtoto wa kwanza, hivyo hata wazazi wangu wenyewe wanategemea mengi kutoka kwangu na msaada kwa wadogo zangu ili waweze kufika nilipofika.

Wazazi wangu ni wakulima ila wameangaika sana kunisomesha kuanzia elimu ya msingi hadi kumaliza masomo ya elimu ya juu, jinsi wazazi wangu walivyokuwa wanahangaika kupata ada ya kunisomesha nilikuwa nawaonea huruma sana na kujiwekea ahadi moyoni mwangu kuwa nikimaliza masomo nitahakikisha ninawafuta machozi.

Sikuweza kuwaangusha wazazi wangu hata siku moja katika masomo yangu nilijitahidi kadiri niwezavyo kufanya vizuri katika mitihani yangu na mara kwa mara nilikuwa napata nafasi ya kwanza katika matokeo ya mitihani tangu nikiwa elimu ya msingi hadi Chuo Kikuu nilipopata GPA ya 4.5.

Kitendo cha kufanya vizuri shule kilifanya wazazi wangu kuwa na imani kuwa nikimaliza kusoma maisha nyumbani yatabadilika kwa sababu nitapata kazi kumbe mawazo hayo yalikuwa ni kama ndoto ya mchana.

Kila nilipoenda kuomba kazi walivyokuwa wakitazama CV yangu tangu elimu ya msingi hadi Chuo Kikuu, kisha kupewa siku maalamu ya kufanya interview, lakini kila baada ya interview nilikuwa ninaambiwa niache namba ya simu kuwa nitapigiwa, lakini haikuwa hivyo.

Nilivyokuwa nawasiliana na marafiki zangu ambao nimesoma nao wengi wao walikuwa wana kazi na wengine wanafanya biashara tofauti tofauti ila mimi sikuwa na chochote muda huo maana nilikuwa sina kazi, pia siwezi kufanya biashara kwa sababu nilikuwa sina sehemu yoyote ambayo ninaweza kupata mtaji, hivyo sikuwa na chaguo lingine zaidi ya kutafuta kazi ya kuajiriwa tu.

Marafiki zangu wengi walikuwa wanashangaa nikiwaambia kuwa sijapata kazi wala sina kitu ambacho najishughulisha nacho, ila kushagaa kwao mimi sikuweza wafikiria vibaya kwa sababu nilitambua wanashangaa kutokana na jinsi walivyokuwa wananijua chuo hata sifa ambazo nilikuwa napata kutoka kwa walimu.

Siku moja nilinunua gazeti kwa ajili ya kuona wapi wanahitaji wafanyakazi, katika kupitia pitia lile gazeti nilikutana na tangazo kuhusu African Doctors, miongoni mwa huduma ambazo wanatoa ni pamoja na kuwasaidia watu kupata kazi na kupandishwa cheo au madaraja kazini.

Sikuwa na chaguo lolote zaidi ya kuchukua namba yao na kuwasiliana na African Doctors ili nione kama nitaweza kupata msaada, basi nilipiga simu, ilipokelewa kisha nikaanza kujieleza kuhusu maisha yangu na kuomba wanisaidie nipate kazi, basi walinipatia maelezo jinsi ambavyo nitaweza kupata usaidizi.

Nilifuata maelekezo yake kisha nikaambiwa nisubiri ndani ya saa 48 nitapokea simu kutoka sehemu ambazo nimewahi kuomba kazi, basi ndani ya muda nilipigiwa simu na shiriki la serikari na kuambiwa nikaanze kazi mara moja.

Hadi sasa hivi nina kazi nzuri, wadogo zangu wanasoma shule nzuri pamoja na wazazi wangu nimewajengea kwa muda mfupi tu.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news