Huduma za Benki Kuu zavutia wengi Sabasaba

Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (wapili kutoka kushoto) akipewa elimu na Mhasibu Mwandamizi kutoka Kurugenzi ya Usimamizi wa Sarafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Omary Kitojo, kuhusu alama za usalama za noti zetu.
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (kushoto) akipewa maelezo na Meneja Msaidizi Idara ya Mawasiliano BoT, Bi. Noves Moses, kuhusu noti na sarafu za Tanzania. Kulia ni Mhasibu Mwandamizi kutoka Kurugenzi ya Usimamizi wa Sarafu, Bw. Omary Kitojo. 
Afisa Rasilimali Watu Mwandamizi kutoka Bodi ya Bima ya Amana (DIB), Bi. Joyce Shala, akielezea jambo kuhusu uendeshaji wa Bodi ya Bima ya Amana kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Main Greenhill walipotembelea banda la BoT katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwl. Julius K. Nyerere jijini Dar es Salaam.
Afisa Uhusiano wa Umma kutoka Idara ya Mawasiliano BoT, Bi. Graceana Mahega, akielezea jambo kwa wananchi alietembelea banda la BoT katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwl. Julius K. Nyerere jijini Dar es Salaam.
Afisa kutoka Tawi la BoT Arusha, Bi. Leah Ombeni, akitoa elimu kuhusu utambuzi wa alama za usalama za noti zetu kwa wananchi waliotembelea banda la BoT katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwl. Julius K. Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mchambuzi wa Masuala ya Fedha kutoka Kurugenzi ya Masoko ya Fedha BoT, Bw. Mussa Ambika, akifafanua jambo kuhusu uwekezaji katika Dhamana za Serikali kwa wananchi alietembelea banda la BoT katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwl. Julius K. Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mchumi kutoka Kurugenzi ya Ustawi na Ujumuishi wa Fedha BoT, Bw. Lucas Magazi, akifafanue jambo kwa wananchi waliotembelea banda la BoT katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwl. Julius K. Nyerere jijini Dar es Salaam. 
Mchumi kutoka Kurugenzi ya Ustawi na Ujumuishi wa Fedha BoT, Bw. Lucas Magazi, akifafanue jambo kwa wananchi waliotembelea banda la BoT katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwl. Julius K. Nyerere jijini Dar es Salaam. 

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news