Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 31, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2371.29 na kuuzwa kwa shilingi 2395 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7721.79 na kuuzwa kwa shilingi 7796.48.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 31, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3052.79 na kuuzwa kwa shilingi 3084.52 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.96 na kuuzwa kwa shilingi 2.03.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 645.62 na kuuzwa kwa shilingi 652.02 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 152.16 na kuuzwa kwa shilingi 153.51.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.44 na kuuzwa kwa shilingi 0.45 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2612.68 na kuuzwa kwa shilingi 2639.05.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.96 na kuuzwa kwa shilingi 17.13 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 331.37 na kuuzwa kwa shilingi 334.39.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.66 na kuuzwa kwa shilingi 16.81 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1795.34 na kuuzwa kwa shilingi 1812.61 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2733.79 na kuuzwa kwa shilingi 2759.85.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.27 na kuuzwa kwa shilingi 2.29.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1582.59 na kuuzwa kwa shilingi 1598.90 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3198.63 na kuuzwa kwa shilingi 3230.61.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 226.06 na kuuzwa kwa shilingi 228.18 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.83 na kuuzwa kwa shilingi 136.13.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 31st, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 645.6171 652.0201 648.8186 31-Jul-23
2 ATS 152.1656 153.5138 152.8397 31-Jul-23
3 AUD 1582.597 1598.902 1590.7495 31-Jul-23
4 BEF 51.9052 52.3646 52.1349 31-Jul-23
5 BIF 2.2704 2.2875 2.2789 31-Jul-23
6 CAD 1795.3416 1812.6088 1803.9752 31-Jul-23
7 CHF 2733.7873 2759.8525 2746.8199 31-Jul-23
8 CNY 331.3705 334.5907 332.9806 31-Jul-23
9 DEM 950.1491 1080.0451 1015.0971 31-Jul-23
10 DKK 350.5903 354.0595 352.3249 31-Jul-23
11 ESP 12.5844 12.6955 12.64 31-Jul-23
12 EUR 2612.6841 2639.0505 2625.8673 31-Jul-23
13 FIM 352.1574 355.278 353.7177 31-Jul-23
14 FRF 319.2062 322.0298 320.618 31-Jul-23
15 GBP 3052.7951 3084.5205 3068.6578 31-Jul-23
16 HKD 304.1008 307.134 305.6174 31-Jul-23
17 INR 28.8498 29.1326 28.9912 31-Jul-23
18 ITL 1.0814 1.091 1.0862 31-Jul-23
19 JPY 16.9584 17.1267 17.0425 31-Jul-23
20 KES 16.664 16.807 16.7355 31-Jul-23
21 KRW 1.8577 1.8741 1.8659 31-Jul-23
22 KWD 7721.7986 7796.4778 7759.1382 31-Jul-23
23 MWK 2.0994 2.2402 2.1698 31-Jul-23
24 MYR 520.8186 525.6804 523.2495 31-Jul-23
25 MZM 36.8098 37.1202 36.965 31-Jul-23
26 NLG 950.1491 958.5752 954.3621 31-Jul-23
27 NOK 233.6312 235.8746 234.7529 31-Jul-23
28 NZD 1463.0842 1478.194 1470.6391 31-Jul-23
29 PKR 7.8671 8.3595 8.1133 31-Jul-23
30 RWF 1.9645 2.0263 1.9954 31-Jul-23
31 SAR 632.1915 638.4283 635.3099 31-Jul-23
32 SDR 3198.6293 3230.6155 3214.6224 31-Jul-23
33 SEK 226.0608 228.1778 227.1193 31-Jul-23
34 SGD 1782.1187 1799.2637 1790.6912 31-Jul-23
35 UGX 0.6306 0.6616 0.6461 31-Jul-23
36 USD 2371.2872 2395 2383.1436 31-Jul-23
37 GOLD 4641059.4557 4688452.0003 4664755.728 31-Jul-23
38 ZAR 134.8341 136.1291 135.4816 31-Jul-23
39 ZMW 123.3324 128.0749 125.7036 31-Jul-23
40 ZWD 0.4437 0.4527 0.4482 31-Jul-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news