Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. Ummy Nderianaga akutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Mkoa wa Arusha (UWT), Bi. Mwasiti Ituja ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi kwa lengo la kushiriki katika kampeni ya Kili Challenge 2023 ambapo inatarajiwa kuanza rasmi Julai 14, 2023 na mgeni rasmi ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.