Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mhe. Deogratius Ndejembi (wa kwanza kulia) akiwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt.Mwigulu Nchemba, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt.Stergomena Tax na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega katika picha ya pamoja mara baada ya kuhudhuria Mkutano wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimaliwatu uliofanyika JNICC jijini Dar es Salaam.
Tags
Foreign Tanzania
Habari
OR-TAMISEMI
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Wizara ya Fedha
Wizara ya Mifugo na Uvuvi