DAR ES SALAAM-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuenzi na kuthamini mchango wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Wazee Mkoa wa Dar es Salaam, Mzee Hemedi Bakari Mkali kwa kujitoa kwake kwa maslahi ya Taifa tangu enzi za kupigania Uhuru.
Akizungumza na mamia ya waombolezaji, Mheshimiwa Majaliwa amewataka Watanzania kuenzi yote mazuri aliyoyafanya Mzee Mkali enzi za uhai wake.