Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe.Jenista Mhagama amekutana na watendaji wa ofisi yake na TACAIDS wakati wa kikao cha kumpitisha juu ya maandalizi ya kuelekea hafla ya kuwapokea wapanda mlima na waendesha baiskeli waliozunguka Mlima Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya Kampeni ya GGM Kilimanjaro HIV &AIDS Challenge 2023 katika kuchangia fedha za utekelezaji wa afua za masuala ya UKIMWI nchini.Hafla hiyo inatarajiwa kufanyika Julai 20,2023 katika lango la Mwika Kilimanjaro.
Tags
Habari
Kilimanjaro HIV & AIDS Challenge
Ofisi ya Waziri Mkuu
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
TACAIDS
TACAIDS Tanzania