CHALINZE-Miongoni mwa vijana wanaojishughulisha na biashara ya mkaa katika maeneo ya Chalinze mkoani Pwani aliyefahamika kwa jina la Masudi amenusurika kifo na kuwasababishia wengine ajali baada ya kutofautiana na watu ambao wanadai ni kutoka Maliasili.
"Maskini hana kauli," kauli hiyo imetolewa na kijana huyo ambaye alionekana kukata tamaa baada ya kufikiwa na hali hiyo leo huku namba zake za simu zikiwa ni 0675150888.