NA GODFREY NNKO
LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.46 na kuuzwa kwa shilingi 16.6 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.05 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 11, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1745.81 na kuuzwa kwa shilingi 1762.74 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2604.32 na kuuzwa kwa shilingi 2629.19.
Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.60 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.22 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.
Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1538.86 na kuuzwa kwa shilingi 1554.49 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3091.65 na kuuzwa kwa shilingi 3122.57.
Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 213.78 na kuuzwa kwa shilingi 215.85 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 122.57 na kuuzwa kwa shilingi 123.77.
Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2320.71 na kuuzwa kwa shilingi 2343.92 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7552.44 na kuuzwa kwa shilingi 7625.48.
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2960.99 na kuuzwa kwa shilingi 2991.54 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.03.
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 631.85 na kuuzwa kwa shilingi 638.11 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 148.92 na kuuzwa kwa shilingi 150.24.
Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2541.18 na kuuzwa kwa shilingi 2567.53.
Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.29 na kuuzwa kwa shilingi 16.46 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 320.58 na kuuzwa kwa shilingi 323.71.
Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 11th, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO | Currency | Buying | Selling | Mean | Transaction Date |
---|---|---|---|---|---|
1 | AED | 631.8476 | 638.1139 | 634.9807 | 11-Jul-23 |
2 | ATS | 148.9202 | 150.2397 | 149.58 | 11-Jul-23 |
3 | AUD | 1538.8647 | 1554.4877 | 1546.6762 | 11-Jul-23 |
4 | BEF | 50.7981 | 51.2478 | 51.023 | 11-Jul-23 |
5 | BIF | 2.222 | 2.2387 | 2.2303 | 11-Jul-23 |
6 | BWP | 171.5007 | 173.6845 | 172.5926 | 11-Jul-23 |
7 | CAD | 1745.8157 | 1762.7435 | 1754.2796 | 11-Jul-23 |
8 | CHF | 2604.3237 | 2629.1868 | 2616.7552 | 11-Jul-23 |
9 | CNY | 320.5847 | 323.7146 | 322.1496 | 11-Jul-23 |
10 | CUC | 38.7452 | 44.0421 | 41.3936 | 11-Jul-23 |
11 | DEM | 929.8845 | 1057.0101 | 993.4473 | 11-Jul-23 |
12 | DKK | 341.0907 | 344.451 | 342.7708 | 11-Jul-23 |
13 | DZD | 18.8579 | 18.8647 | 18.8613 | 11-Jul-23 |
14 | ESP | 12.316 | 12.4247 | 12.3704 | 11-Jul-23 |
15 | EUR | 2541.1806 | 2567.53 | 2554.3553 | 11-Jul-23 |
16 | FIM | 344.6467 | 347.7007 | 346.1737 | 11-Jul-23 |
17 | FRF | 312.3982 | 315.1616 | 313.7799 | 11-Jul-23 |
18 | GBP | 2960.9976 | 2991.5451 | 2976.2713 | 11-Jul-23 |
19 | HKD | 296.4138 | 299.3742 | 297.894 | 11-Jul-23 |
20 | INR | 28.0975 | 28.3596 | 28.2285 | 11-Jul-23 |
21 | IQD | 0.2387 | 0.2404 | 0.2395 | 11-Jul-23 |
22 | IRR | 0.0082 | 0.0083 | 0.0082 | 11-Jul-23 |
23 | ITL | 1.0583 | 1.0677 | 1.063 | 11-Jul-23 |
24 | JPY | 16.2994 | 16.459 | 16.3792 | 11-Jul-23 |
25 | KES | 16.459 | 16.6 | 16.5295 | 11-Jul-23 |
26 | KRW | 1.7755 | 1.7925 | 1.784 | 11-Jul-23 |
27 | KWD | 7552.4371 | 7625.4799 | 7588.9585 | 11-Jul-23 |
28 | MWK | 2.0491 | 2.2069 | 2.128 | 11-Jul-23 |
29 | MYR | 497.2601 | 501.5878 | 499.424 | 11-Jul-23 |
30 | MZM | 35.7583 | 36.0603 | 35.9093 | 11-Jul-23 |
31 | NAD | 92.2151 | 93.0846 | 92.6498 | 11-Jul-23 |
32 | NLG | 929.8845 | 938.1309 | 934.0077 | 11-Jul-23 |
33 | NOK | 219.2144 | 221.3354 | 220.2749 | 11-Jul-23 |
34 | NZD | 1432.344 | 1447.605 | 1439.9745 | 11-Jul-23 |
35 | PKR | 7.9689 | 8.419 | 8.1939 | 11-Jul-23 |
36 | QAR | 813.3715 | 820.1632 | 816.7673 | 11-Jul-23 |
37 | RWF | 1.9749 | 2.0281 | 2.0015 | 11-Jul-23 |
38 | SAR | 618.7248 | 624.8787 | 621.8017 | 11-Jul-23 |
39 | SDR | 3091.6537 | 3122.5702 | 3107.112 | 11-Jul-23 |
40 | SEK | 213.7763 | 215.8485 | 214.8124 | 11-Jul-23 |
41 | SGD | 1719.9384 | 1736.8803 | 1728.4094 | 11-Jul-23 |
42 | TRY | 88.9544 | 89.8067 | 89.3806 | 11-Jul-23 |
43 | UGX | 0.6054 | 0.6352 | 0.6203 | 11-Jul-23 |
44 | USD | 2320.7129 | 2343.92 | 2332.3164 | 11-Jul-23 |
45 | GOLD | 4443445.7275 | 4488841.192 | 4466143.4598 | 11-Jul-23 |
46 | ZAR | 122.5711 | 123.7661 | 123.1686 | 11-Jul-23 |
47 | ZMK | 123.8837 | 127.1658 | 125.5248 | 11-Jul-23 |
48 | ZWD | 0.4343 | 0.4431 | 0.4387 | 11-Jul-23 |
Tags
Akiba Fedha za Kigeni
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Fedha za Kigeni
Foreign Exchanges
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania