Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 12, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 632.02 na kuuzwa kwa shilingi 638.29 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 148.96 na kuuzwa kwa shilingi 150.28.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 12, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2551.41 na kuuzwa kwa shilingi 2577.86.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.54 na kuuzwa kwa shilingi 16.70 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 322.45 na kuuzwa kwa shilingi 325.59.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.45 na kuuzwa kwa shilingi 16.59 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.05 na kuuzwa kwa shilingi 2.20.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1749.07 na kuuzwa kwa shilingi 1766.03 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2633.13 na kuuzwa kwa shilingi 2658.25.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.61 na kuuzwa kwa shilingi 0.64 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.22 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1546.96 na kuuzwa kwa shilingi 1562.89 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3117.59 na kuuzwa kwa shilingi 3148.77.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 216.86 na kuuzwa kwa shilingi 218.99 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 124.45 na kuuzwa kwa shilingi 125.63.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2321.37 na kuuzwa kwa shilingi 2344.58 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7559.73 na kuuzwa kwa shilingi 7632..84.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2997.35 na kuuzwa kwa shilingi 2028.26 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.03.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 12th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 632.0254 638.2936 635.1595 12-Jul-23
2 ATS 148.9622 150.282 149.6221 12-Jul-23
3 AUD 1546.9585 1562.897 1554.9278 12-Jul-23
4 BEF 50.8124 51.2622 51.0373 12-Jul-23
5 BIF 2.2226 2.2393 2.231 12-Jul-23
6 CAD 1749.0705 1766.0289 1757.5497 12-Jul-23
7 CHF 2633.1288 2658.254 2645.6914 12-Jul-23
8 CNY 322.4523 325.5863 324.0193 12-Jul-23
9 DEM 930.1464 1057.3078 993.7271 12-Jul-23
10 DKK 342.4046 345.8032 344.1039 12-Jul-23
11 ESP 12.3195 12.4282 12.3739 12-Jul-23
12 EUR 2551.4137 2577.8657 2564.6397 12-Jul-23
13 FIM 344.7438 347.7986 346.2712 12-Jul-23
14 FRF 312.4862 315.2504 313.8683 12-Jul-23
15 GBP 2997.3482 3028.2596 3012.8039 12-Jul-23
16 HKD 296.5503 299.4929 298.0216 12-Jul-23
17 INR 28.1753 28.4381 28.3067 12-Jul-23
18 ITL 1.0586 1.068 1.0633 12-Jul-23
19 JPY 16.5434 16.7029 16.6231 12-Jul-23
20 KES 16.4519 16.5929 16.5224 12-Jul-23
21 KRW 1.7958 1.813 1.8044 12-Jul-23
22 KWD 7559.7301 7632.8417 7596.2859 12-Jul-23
23 MWK 2.0476 2.2038 2.1257 12-Jul-23
24 MYR 498.6824 503.1288 500.9056 12-Jul-23
25 MZM 35.7683 36.0705 35.9194 12-Jul-23
26 NLG 930.1464 938.395 934.2707 12-Jul-23
27 NOK 222.8333 224.9753 223.9043 12-Jul-23
28 NZD 1434.6044 1450.1228 1442.3636 12-Jul-23
29 PKR 8.0854 8.4718 8.2786 12-Jul-23
30 RWF 1.9751 2.0269 2.001 12-Jul-23
31 SAR 618.8825 625.0379 621.9602 12-Jul-23
32 SDR 3117.595 3148.771 3133.183 12-Jul-23
33 SEK 216.865 218.9886 217.9268 12-Jul-23
34 SGD 1730.297 1746.9488 1738.6229 12-Jul-23
35 UGX 0.6064 0.6363 0.6213 12-Jul-23
36 USD 2321.3664 2344.58 2332.9732 12-Jul-23
37 GOLD 4496421.3641 4543098.5279 4519759.946 12-Jul-23
38 ZAR 124.4487 125.6319 125.0403 12-Jul-23
39 ZMW 123.6532 128.3998 126.0265 12-Jul-23
40 ZWD 0.4344 0.4432 0.4388 12-Jul-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news