Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 18, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.43 na kuuzwa kwa shilingi 16.57 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.06 na kuuzwa kwa shilingi 2.19.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 18, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1758.72 na kuuzwa kwa shilingi 1775.77 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2699.78 na kuuzwa kwa shilingi 2725.51.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.61 na kuuzwa kwa shilingi 0.64 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.22 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1579.83 na kuuzwa kwa shilingi 1596.10 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3147.82 na kuuzwa kwa shilingi 3179.29.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 227.15 na kuuzwa kwa shilingi 229.35 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 128.52 na kuuzwa kwa shilingi 129.69.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2323.97 na kuuzwa kwa shilingi 2347.21 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7582.04 na kuuzwa kwa shilingi 7655.36.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3035.34 na kuuzwa kwa shilingi 3066.63 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.98 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 632.79 na kuuzwa kwa shilingi 638.97 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 149.13 na kuuzwa kwa shilingi 150.45.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2608.89 na kuuzwa kwa shilingi 2635.92.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.73 na kuuzwa kwa shilingi 16.89 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 324.22 na kuuzwa kwa shilingi 327.37.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 18th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 632.7861 638.9748 635.8805 18-Jul-23
2 ATS 149.1292 150.4506 149.7899 18-Jul-23
3 AUD 1579.835 1596.1028 1587.9689 18-Jul-23
4 BEF 50.8694 51.3197 51.0946 18-Jul-23
5 BIF 2.2251 2.2418 2.2335 18-Jul-23
6 BWP 176.1569 180.031 178.094 18-Jul-23
7 CAD 1758.7183 1775.7679 1767.2431 18-Jul-23
8 CHF 2699.7796 2725.5109 2712.6453 18-Jul-23
9 CNY 324.2237 327.3745 325.7991 18-Jul-23
10 CUC 38.7996 44.1039 41.4517 18-Jul-23
11 DEM 931.1898 1058.4938 994.8418 18-Jul-23
12 DKK 350.2593 353.7246 351.9919 18-Jul-23
13 DZD 19.4567 19.5722 19.5145 18-Jul-23
14 ESP 12.3333 12.4421 12.3877 18-Jul-23
15 EUR 2608.8891 2635.9168 2622.4029 18-Jul-23
16 FIM 345.1304 348.1887 346.6596 18-Jul-23
17 FRF 312.8367 315.604 314.2204 18-Jul-23
18 GBP 3035.3376 3066.6299 3050.9837 18-Jul-23
19 HKD 297.4187 300.3891 298.9039 18-Jul-23
20 INR 28.3366 28.6008 28.4687 18-Jul-23
21 IQD 0.239 0.2407 0.2399 18-Jul-23
22 IRR 0.0082 0.0083 0.0083 18-Jul-23
23 ITL 1.0598 1.0692 1.0645 18-Jul-23
24 JPY 16.73 16.8937 16.8119 18-Jul-23
25 KES 16.4296 16.5705 16.5001 18-Jul-23
26 KRW 1.8325 1.8502 1.8414 18-Jul-23
27 KWD 7582.0374 7655.3602 7618.6988 18-Jul-23
28 MWK 2.0576 2.1955 2.1265 18-Jul-23
29 MYR 512.2262 516.5515 514.3889 18-Jul-23
30 MZM 36.0753 36.3796 36.2274 18-Jul-23
31 NAD 97.2473 98.1223 97.6848 18-Jul-23
32 NLG 931.1898 939.4477 935.3187 18-Jul-23
33 NOK 231.7458 233.9746 232.8602 18-Jul-23
34 NZD 1470.376 1485.3145 1477.8452 18-Jul-23
35 PKR 8.0576 8.4432 8.2504 18-Jul-23
36 QAR 833.884 841.2789 837.5814 18-Jul-23
37 RWF 1.9761 2.0251 2.0006 18-Jul-23
38 SAR 619.4611 625.6057 622.5334 18-Jul-23
39 SDR 3147.8178 3179.2959 3163.5569 18-Jul-23
40 SEK 227.1499 229.3541 228.252 18-Jul-23
41 SGD 1757.1226 1774.4255 1765.774 18-Jul-23
42 TRY 88.2991 89.1638 88.7314 18-Jul-23
43 UGX 0.6096 0.6396 0.6246 18-Jul-23
44 USD 2323.9703 2347.21 2335.5901 18-Jul-23
45 GOLD 4530535.009 4577201.9756 4553868.4923 18-Jul-23
46 ZAR 128.5218 129.6995 129.1106 18-Jul-23
47 ZMK 119.6207 124.2239 121.9223 18-Jul-23
48 ZWD 0.4349 0.4437 0.4393 18-Jul-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news