Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 24, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 226.09 na kuuzwa kwa shilingi 228.28 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 130.69 na kuuzwa kwa shilingi 131.95.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 24, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2348.79 na kuuzwa kwa shilingi 2372.28 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7651.29 na kuuzwa kwa shilingi 7725.28.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3010.68 na kuuzwa kwa shilingi 3041.97 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.98 na kuuzwa kwa shilingi 2.04.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 639.51 na kuuzwa kwa shilingi 645.83 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 150.72 na kuuzwa kwa shilingi 152.06.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.44 na kuuzwa kwa shilingi 0.45 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2612.56 na kuuzwa kwa shilingi 2639.16.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.62 na kuuzwa kwa shilingi 16.78 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 327.15 na kuuzwa kwa shilingi 330.33.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.56 na kuuzwa kwa shilingi 16.71 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.07 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1778.99 na kuuzwa kwa shilingi 1796.23 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2715.99 na kuuzwa kwa shilingi 2741.89.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.25 na kuuzwa kwa shilingi 2.26.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1581.91 na kuuzwa kwa shilingi 1598.20 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3173.45 na kuuzwa kwa shilingi 3205.19.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 24th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 639.5099 645.8347 642.6723 24-Jul-23
2 ATS 150.7221 152.0575 151.3898 24-Jul-23
3 AUD 1581.9115 1598.205 1590.0583 24-Jul-23
4 BEF 51.4128 51.8678 51.6403 24-Jul-23
5 BIF 2.2488 2.2658 2.2573 24-Jul-23
6 CAD 1778.9836 1796.2292 1787.6064 24-Jul-23
7 CHF 2715.9945 2741.8863 2728.9404 24-Jul-23
8 CNY 327.1526 330.3322 328.7424 24-Jul-23
9 DEM 941.1356 1069.7993 1005.4675 24-Jul-23
10 DKK 350.655 354.1404 352.3977 24-Jul-23
11 ESP 12.4651 12.575 12.52 24-Jul-23
12 EUR 2612.5615 2639.1615 2625.8615 24-Jul-23
13 FIM 348.8167 351.9077 350.3622 24-Jul-23
14 FRF 316.1781 318.9749 317.5765 24-Jul-23
15 GBP 3010.6817 3041.9747 3026.3282 24-Jul-23
16 HKD 300.4685 303.4693 301.9689 24-Jul-23
17 INR 28.66 28.9402 28.8001 24-Jul-23
18 ITL 1.0711 1.0806 1.0759 24-Jul-23
19 JPY 16.6227 16.7854 16.7041 24-Jul-23
20 KES 16.5641 16.7062 16.6352 24-Jul-23
21 KRW 1.8278 1.8452 1.8365 24-Jul-23
22 KWD 7651.287 7725.2834 7688.2852 24-Jul-23
23 MWK 2.0718 2.2298 2.1508 24-Jul-23
24 MYR 515.425 519.5532 517.4891 24-Jul-23
25 MZM 36.4606 36.7682 36.6144 24-Jul-23
26 NLG 941.1356 949.4817 945.3086 24-Jul-23
27 NOK 233.6782 235.921 234.7996 24-Jul-23
28 NZD 1453.1977 1468.6785 1460.9381 24-Jul-23
29 PKR 7.7884 8.2586 8.0235 24-Jul-23
30 RWF 1.9807 2.0407 2.0107 24-Jul-23
31 SAR 626.2444 632.3382 629.2913 24-Jul-23
32 SDR 3173.4529 3205.1875 3189.3202 24-Jul-23
33 SEK 226.0867 228.2816 227.1842 24-Jul-23
34 SGD 1767.3379 1784.3399 1775.8389 24-Jul-23
35 UGX 0.6212 0.6517 0.6364 24-Jul-23
36 USD 2348.792 2372.28 2360.536 24-Jul-23
37 GOLD 4610695.293 4658226.0884 4634460.6907 24-Jul-23
38 ZAR 130.6932 131.9538 131.3235 24-Jul-23
39 ZMW 117.1377 121.6554 119.3965 24-Jul-23
40 ZWD 0.4396 0.4484 0.444 24-Jul-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news