Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 28, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3057.06 na kuuzwa kwa shilingi 3088.59 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.00 na kuuzwa kwa shilingi 2.06.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 28, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 645.67 na kuuzwa kwa shilingi 651.95 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 152.16 na kuuzwa kwa shilingi 153.51.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.44 na kuuzwa kwa shilingi 0.45 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2622.41 na kuuzwa kwa shilingi 2648.87.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.85 na kuuzwa kwa shilingi 17.02 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 331.30 na kuuzwa kwa shilingi 334.55.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.67 na kuuzwa kwa shilingi 16.82 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.25.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1800.38 na kuuzwa kwa shilingi 1817.84 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2752.19 na kuuzwa kwa shilingi 2779.39.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.27 na kuuzwa kwa shilingi 2.29.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1607.02 na kuuzwa kwa shilingi 1623.57 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3258.15 na kuuzwa kwa shilingi 3290.73.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 227.38 na kuuzwa kwa shilingi 229.58 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.99 na kuuzwa kwa shilingi 135.66.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2371.29 na kuuzwa kwa shilingi 2395 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7721.79 na kuuzwa kwa shilingi 7796.48.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 28th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 645.6699 651.949 648.8095 28-Jul-23
2 ATS 152.1656 153.5138 152.8397 28-Jul-23
3 AUD 1607.0213 1623.5705 1615.2959 28-Jul-23
4 BEF 51.9052 52.3646 52.1349 28-Jul-23
5 BIF 2.2704 2.2875 2.2789 28-Jul-23
6 BWP 181.8777 184.1755 183.0266 28-Jul-23
7 CAD 1800.385 1817.8368 1809.1109 28-Jul-23
8 CHF 2752.1903 2779.3896 2765.7899 28-Jul-23
9 CNY 331.301 334.5533 332.9272 28-Jul-23
10 CUC 39.5895 45.0019 42.2957 28-Jul-23
11 DEM 950.1491 1080.0451 1015.0971 28-Jul-23
12 DKK 351.9588 355.4414 353.7001 28-Jul-23
13 DZD 19.5042 19.615 19.5596 28-Jul-23
14 ESP 12.5844 12.6955 12.64 28-Jul-23
15 EUR 2622.4064 2648.87 2635.6382 28-Jul-23
16 FIM 352.1574 355.278 353.7177 28-Jul-23
17 FRF 319.2062 322.0298 320.618 28-Jul-23
18 GBP 3057.0634 3088.592 3072.8277 28-Jul-23
19 HKD 303.98 307.008 305.494 28-Jul-23
20 INR 28.921 29.2049 29.0629 28-Jul-23
21 IQD 0.2439 0.2456 0.2447 28-Jul-23
22 IRR 0.0084 0.0085 0.0084 28-Jul-23
23 ITL 1.0814 1.091 1.0862 28-Jul-23
24 JPY 16.8499 17.016 16.9329 28-Jul-23
25 KES 16.6757 16.8188 16.7473 28-Jul-23
26 KRW 1.852 1.8698 1.8609 28-Jul-23
27 KWD 7721.7986 7796.4777 7759.1382 28-Jul-23
28 MWK 2.0916 2.2512 2.1714 28-Jul-23
29 MYR 524.8533 529.1648 527.0091 28-Jul-23
30 MZM 36.8098 37.1203 36.965 28-Jul-23
31 NAD 102.5043 103.4743 102.9893 28-Jul-23
32 NLG 950.1491 958.5751 954.3621 28-Jul-23
33 NOK 235.0625 237.3331 236.1978 28-Jul-23
34 NZD 1478.4975 1493.7615 1486.1295 28-Jul-23
35 PKR 7.867 8.3595 8.1133 28-Jul-23
36 QAR 839.8526 847.1644 843.5085 28-Jul-23
37 RWF 2.0057 2.058 2.0319 28-Jul-23
38 SAR 632.2589 638.5475 635.4032 28-Jul-23
39 SDR 3258.1485 3290.73 3274.4393 28-Jul-23
40 SEK 227.3809 229.5799 228.4804 28-Jul-23
41 SGD 1787.8965 1805.095 1796.4957 28-Jul-23
42 TRY 88.0073 88.8623 88.4348 28-Jul-23
43 UGX 0.6323 0.6634 0.6479 28-Jul-23
44 USD 2371.2871 2395 2383.1436 28-Jul-23
45 GOLD 4645564.901 4693242 4669403.4505 28-Jul-23
46 ZAR 134.9953 136.3251 135.6602 28-Jul-23
47 ZMK 124.6693 129.4595 127.0644 28-Jul-23
48 ZWD 0.4437 0.4527 0.4482 28-Jul-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news