Waziri Mkuu akagua maendeleo ya ujenzi wa Mji wa Serikali Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene (kulia kwake ) wakati alipokagua ujenzi wa jengo la Wizara hiyo akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Mji wa Serikali, eneo la Mtumba jijini Dodoma, Julai 3, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa Mji wa Serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikagua ujenzi huo, Julai 3, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa Mji wa Serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikagua ujenzi huo, Julai 3, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua na kupewa maelezo kuhusu ujenzi wa jengo la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Mji wa Serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma, Julai 3, 2023. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geofrey Pinda, wa tatu kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama na wa nne kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Dkt. Jim Yonazi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha majumuisho baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Mji wa Serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma, Julai 3, 2023. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news