Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mhandisi Ujenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, Muharami Kilihindi, wakati alipokagua shughuli za ujenzi wa Kituo cha Afya Mkunwa Julai 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akzungumza na wananchi wa Nanguruwe wilayani Mtwara vijijini, Julai 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mganga Mkuu wa Wilaya Mtwara Vijijini, Dkt. Matayo Malaika, wakati alipokagua shughuli za ujenzi wa Kituo cha Afya Mkunwa Julai 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia dirisha, wakati alipokagua shughuli za ujenzi wa Kituo cha Afya Mkunwa Julai 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mhandisi Ujenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, Muharami Kilihindi, wakati alipokagua shughuli za ujenzi wa Kituo cha Afya Mkunwa Julai 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi, ujenzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya Mtwara-Mkunwa, Julai 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).