
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima Kombo Haji (kushoto) alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima Kombo Haji (kushoto) alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha kulia ni Wasaidizi wa Rais.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha na Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima Kombo Haji (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha.